Wanatuaibisha sana hawa,km vp watupe wanawake zao,..... [emoji3] [emoji3] [emoji3] kama ndoa zajengwa na pesa sheikhe [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwa jinsi wanaume wakichaga mlivyotuabisha tunatamani kujitoa kwenye huo ukaskazini hata kesho,hivi kweli wanawake wanakimbia nchi jirani kutafuta muhogo kweli jamani
Street 13 Bosnia cutting saloon ndio maskani .
Home Street 12.
Home sweet Home tupo huku ughaibuni kwa ajili ya kutafuta tu.
Okay nimekusikia mummy ake,ila mm nimewahi kuishi Handen kama mwaka hivi sikufichi toka nimezaliwa sijawahi kuona kuku mweupe ila kule karibu kila familia walikuwa na kuku mweupe na ukiuliza unaambiwa wa dawa,inshort nilichokiona kule vijana wengi wanaamini mambo ya kishirikina sana,unaweza kupishana na mtu kidogo tuu ila yy tayari anakuwa anakuwazia vibaya,
Nb:ila ni wakarimu saana,nilikaa kule mpaka mzee mmoja akaniomba waniozeshe binti kutokana na nilivyoishi nao ila na mm akili zangu zilikuwa bado sijielewi
Kaka kweli wa tanga,unamjua hadi seboga!!!!,Tanga raha ,namkumbuka mzee SEBOGA na kibondei chake mpaka mahakamani
Eti baikoko![emoji16][emoji16]mkuu kama upo akilin kwangu vile
yaan n shiida,wao n kucheza baikoko na kuoa wanawake kila uchwao,vijumba vya nyasi usipime,hawa watu wanaaibisha kaskaxn
Wazee wa kizigua akimiliki baiskeli,gobole na radio zile cassete za zamani basi anaona ameshamaliza yaan ni tajiri kwa hapo kijijiniMkuu kule ungeanza kustawi kidogo tu Hata ungejaribu kulima shamba na mazao kumea basi hawapendi watakutafuta kukukomesha wakishindwa wanatumia "sakizi"
Bunduki inapigwa upande itakapoelekezwa ndiko utakapoelekea wakati wa kuondoka !
Utashangaa umeondoka gafla na ulikoenda wala hukutegemea kwenda!
Mi mzima kabisa swahiba. Za kuadimika?Nimepata salamu yako swahiba, natumai yu bukheri wa afya
Nipo swahiba, mapambano tu ya kutafuta ugali ndo manaMi mzima kabisa swahiba. Za kuadimika?
Sawa Swahiba. Ila sio kwa mpishano huu.Nipo swahiba, mapambano tu ya kutafuta ugali ndo mana