Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,335
- 6,617
Ukweli unauma, ni kwamba idadi kubwa ya watu wa Tanga ni roho korosho. Nimesoma nao, nimeishi nao, na nina fanya nao kazi.
Hasa huko Handeni kuna washiriki na maofisini balaa
Ukweli unauma, ni kwamba idadi kubwa ya watu wa Tanga ni roho korosho. Nimesoma nao, nimeishi nao, na nina fanya nao kazi.
Uko sahihi mkuu tena zaidi vijana wa kiume.Ukweli unauma, ni kwamba idadi kubwa ya watu wa Tanga ni roho korosho. Nimesoma nao, nimeishi nao, na nina fanya nao kazi.
Wabondei waliosoma ni wa zamani sio wa Sasa na waliosoma kwa sababu kulikuwa na shule ya Kwanza ya kanisa pale magilaWadigo ni balaaa hao hawana mpinzani , wabondei afadhali nimeishi nao wanapiga kazi , halafu shule wamepiga kidogo
Sehemu zote Zina ushirikina Ila sio kosa ni kosa la kurithi mawazo potofuHasa huko Handeni kuna washiriki na maofisini balaa
Nikiwa mmoja wa watu niliowahi kufanya "kazi maalum" SeKoMu,kuna mambo mengi sana mazito kwenye kile chuo.....but jua tu tatizo kubwa linaanzia kwa Mama Munga....Tanga, kunani palee...mbona kila kitu kimekufa!?
Nilikua napitia guide book ya TCU. Nimeona vyuo vya Tanga vimepigwa panga tena. Ni kwamba wameshindwa kujipanga na kufanyia marekebisho maagizo ya TCU.
Hapa naongelea SEKOM na Euckenforde. Kwa mafano yuo kama Teofil Kisanji, Marian University, Kampala,Arch Bishop na Mihayo vimerejeshewa udahili. Ni kwamba wametekeleza maagizo ya TCU.
Tanga tunakwama wapi
SEKOM kwa mfano ni muda mrefu badala ya kukaa kujenga mustakabali wa chuo,wametumia nguvu nyingi kulaumu watu. Tulikua na mtu anaitwa Prof Kihiyo...he was very potential, na kimsingi ni mtu wa "system" lakini walimfanyia figisu zisizo na tija. Ila tunaamini wangemtumia vzr angewavusha hapa.
Utaona kwamba hii ni taasisi ya kidini lakini mambo yake yanaleta maswali. Euckenforde sijui wamekwama wapi...Tanga kunani?
SEKOMU ilibeba sana uchumi wa Lsht, watu wali invest kwenye biashara kubwa na ndogo, sasa hali itakua mbaya zaidi.
It pains kuona kwetu kunakufa,watu kama sisi tuna uwezo wa kupata fursa hapa na pale,lakini wengi wa ndugu zetu maisha yao yako pale,wapo waliokopa bank na wapo waliokua wanategemea day work "deiwaka" kuendesha familia zao....IT PAINS
Kongei nayo si habaHapana labda Tanga ya leo... Sio ya Zama zetu mpaka hivi karibuni... Rekodi ya hizi shule inaheshimika mpaka nje ya Tanzania
Magamba boys (shule yangu)
KIFUNGILO girls
Mazinde juu
Soni seminary
Tanga school
Popatiral
Korogwe girls
Etc
Tatizo Askofu Munga anashinda mitandaoni badala ya kushinda ofisini kutatua changamoto za dayosisi Yake ikiwemo hicho chuo.Serikali haiwezi peleka na kuteua mtu gani awe mkuu wa chuo kisicho Cha serikali.Serikali inachofanya Ni kuweka vigezo tu acha uongoSekom kuna shida iliyotokana na mambo ya kisiasa,...KKKT wanataka mkuu wa chuo awe Mlutheri wakati mamlaka ziliwaletea mkatoliki anayepokea maagizo toka juu
Ukisoma maandishi ya askofu Munga unaweza kuona shida iko wapi na yule Bagonza pia... Hawa hawaogopi kukosoa (kwa weledi)
wasambaa kweli ni kama wachaga wako tofauti na makabila yaliyobakia ya Tanga.Hapa watoe wasambaa.. Hawa ni tofauti kabisa na wabondei, wazigua na wadigo
Mistari 3 ya mwisho ina bonge la ujembeShule iko Tanga kijana , hatuna haja ya kujua ni mwenyeji wa wapi, hii ni tanga na heshima inarudi Tanga , ikiwa ya mwisho ni Tanga , ikifanya vizuri sio wenyeji wa Tanga aahhahahahahahahahaha
Sehemu zote Zina ushirikina Ila sio kosa ni kosa la kurithi mawazo potofu
Vyuo vijengewe kulingana na mazingira ya mahali husika.
Ningekuwa mimi, Tanga ningejenga vyuo vya aina hii huko ugosini.
1.Bachelor/ master degree ya mahaba na mapenzi.
2..Bachelor/master degree ya uchawi na mambo ya ushirikina.
3.Bachelor/master degree ya umbea na maswala ya kujipodoa.
Kule ni pwani na kuna mjumuiko wa watu mbali mbali ambao sio wote ni wakazi asilia.. Fika lushoto uone
Yaani Tanga kutoa shule moja tu katika shule 10 za mwisho unashangaa , sasa Mkoa kama MARA uliotoa shule 3 za mwisho itakuwaje au zenji (mjini magharibi ) iliotoa shule 4 siungeongea mpaka upasuke mdomo, Tanga inakwenda vizuri chukua hii kwa faida yako
1.wasichana 10 bora mchepuo wa biashara , Tanga imetoa mmoja
2.wavulana 10 bora mchepuo wa biashara , Tanga imetoa 1
3.wasichana 10 bora mchepuo wa sayansa , Tanga imetoa 4
4. Wavulana 10 bora mchepuo wa sayansi , Tanga imetoa 0
5.Wahitimu 10 bora kitaifa (wavulana na wasichana) mchepuo wa Sayansi ,Tanga imetoa 1
6. Katika shule 10 bora kitaifa , Tanga imetoa 1
7. labda wewe uje useme mkoa wako na kipi kimefanya katika matokeo haya ya form 6
Ntashuka mkuu hapo muhimu sana ahahahhahaaahaaahaSiku ukipita hapa Segera njia panda hebu fanya kunishtua ili nikufungashie machungwa mazuri na nazi za kutosha ili uwapelekee zawadi nyumbani!
Umewanyamazisha hao wote wanaoleta kejeli kwenye hoja yenye mashiko iliyoletwa mezani na Mghoshi wa Ndima Mshana jr.
Yaani Tanga kutoa shule moja tu katika shule 10 za mwisho unashangaa , sasa Mkoa kama MARA uliotoa shule 3 za mwisho itakuwaje au zenji (mjini magharibi ) iliotoa shule 4 siungeongea mpaka upasuke mdomo, Tanga inakwenda vizuri chukua hii kwa faida yako
1.wasichana 10 bora mchepuo wa biashara , Tanga imetoa mmoja
2.wavulana 10 bora mchepuo wa biashara , Tanga imetoa 1
3.wasichana 10 bora mchepuo wa sayansa , Tanga imetoa 4
4. Wavulana 10 bora mchepuo wa sayansi , Tanga imetoa 0
5.Wahitimu 10 bora kitaifa (wavulana na wasichana) mchepuo wa Sayansi ,Tanga imetoa 1
6. Katika shule 10 bora kitaifa , Tanga imetoa 1
7. labda wewe uje useme mkoa wako na kipi kimefanya katika matokeo haya ya form 6
uko sahihi nimefanya biashara ya mawe na watu wa Tanga ata wenyewe tu wanawekeana roho ya korosho. ukiwashinda akili wanakimbilia kuloga.
Tanga wakipunguza roho ya ubinafsi wakapunguza na ushirika Tanga itakuwa mbali sana.
Ndio tunauliza Tanga ikifanya vibaya vinasaba hakuna, ila ikifanya vizuri mnauliza vinasaba!! nyie ni watu wa kupuuzwa , kinachofanyika Tanga ni heshima ya Tanga nzima full stopTafuta katika hao wanafunzi umpate mwenye vinasaba vya Tanga,