Tanga... Kunani pale.?

Nilisikia mzee Muller amefariki hizi taarifa zilikua za kweli?
Yaah ni kweli nilienda Lushoto kwenye msiba wa Ngwilizi,nikabak nikapata taarifa kwamba jamaa anaumwa sana,siku chache usoni nikaskia kafariki akiwa Dar,jamaa tumepiga nae sana vyombo pale hotelin kwake,task za field Lushoto ngumu sana baridi kali bila kupiga vyuma hutoboi.
 
Kituo cha kwanza cha polisi Tanganyika na Tanzania kilijengwa Lushoto pale.
 
Mamlaka haina mamlaka ya kuwateulia Mkuu was Chuo. Labda sijakuelewa.
Aliyemaliza muda wake alitakiwa kustaaafu kwa mujibu wa sheria.. Chuo kikamtaka aendelee lakini kuna figisu ikafanyika... Chuo nao wakakomaa sasa ni mwendo wa kutunishiana misuli
 
Itabidi tufahamiane kivingine..... Ngwilizi alishawahi kwenda Comoro kukaimu urais
 
Aliyemaliza muda wake alitakiwa kustaaafu kwa mujibu wa sheria.. Chuo kikamtaka aendelee lakini kuna figisu ikafanyika... Chuo nao wakakomaa sasa ni mwendo wa kutunishiana misuli
Ni private University. Iweje serikali itake kuwaamulia? Kazi ya TCU ni kuangalia kama anayewekwa ana sifa basi.
 
Ni private University. Iweje serikali itake kuwaamulia? Kazi ya TCU ni kuangalia kama anayewekwa ana sifa basi.
Kila kitu cha private unachokiona Nchini ujue kina operate under govt rules,huwez kujiendeshea mambo ukawa unakiuka taratibu halafu uachwe kisa tu ni private.😬
 
Kila kitu cha private unachokiona Nchini ujue kina operate under govt rules,huwez kujiendeshea mambo ukawa unakiuka taratibu halafu uachwe kisa tu ni private.😬
Ni sawa kufuata rules za serikali. Ndiyo maana kuna TCU. Lakini hakuna sheria ya kuwachagulia Vice Chancellor. Haipo!
Ni ubabe was awamu hii tu.
 
Ni sawa kufuata rules za serikali. Ndiyo maana kuna TCU. Lakini hakuna sheria ya kuwachagulia Vice Chancellor. Haipo!
Ni ubabe was awamu hii tu.
Mama Samia yupo huko leo na kesho,mpeni malalamiko yenu,halaf inaelekea hujui chochote kuhusu chanzo cha hiko chuo kupigwa Ban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…