Full raha...
Samahani Marejesho, huko "chumvini" na kwenyewe ulifika? Je kukoje?Amboni caves....
nyie wote mlikuwa mpo kimahaba mahaba nikaona nijilipue na misoda mie..hadi leo tumbo lote ni karafuu mtupuhahaha kitu cha anjari ya karafuu...ile yaitwa soda ya mahaba sasa sijui smile yu katika hali gani sasa maana alizichapa ka chupa mbili hivi...