TANGA: KITOVU KIPYA CHA NISHATI

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
783
Reaction score
695
Chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, uwekezaji wa takribani USD bilioni 20 unaiweka Tanga katika nafasi muhimu ya kuwa kitovu cha nishati, ukifungua fursa za ajira, kukuza biashara na viwanda, kuongeza mapato ya taifa na kuimarisha zaidi Bandari ya Tanga.
 
Ndo maana mama yako anakutuma Uganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…