kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,334
- 21,429
Katika tanzania hii tanga ni mkoa mmojawapo uliotoa wasomi wengi sana katika nchi,kuanzia serikalini,kwenye mashirika ya umma,sekta za elimu,afya lakini huwezi sikia wakitajwa kwenye matatizo mengi ya nchi hii wanafanya kazi zao kwa weledi kabisa na huwezi kukuta ofisi kitengo amekabidhiwa mtu wa tanga akajaza watanga wenzie hapana,mimi ni mtu wa kanda ya ziwa lakini hatupo hivyo kwanini?.