Mpk serikali ya wanyonge itakapo fanya maarifa ya kuondoa hayo maji.Tafuteni madumu mchote mkamwage sehemu kavu mtakaa hapo Hadi lini?
Ipo Njia Nyingine Ukifika Korogwe Unapitia Handeni Halafu Mkata Ndiyo Dar es salaam, Changamoto Kubwa Mvua Nyingi Sana Eneo Hilo Barabara Haionekani, Huo Usiku Imebidi Magari Yalale Hapo.Nina safari kutoka kili to dar by kesho bora nikwae pipa tu
Kwa Tanga mvua inamwagika sio masihara..jana tangu asubuhi mpaka usiku...Leo asubuhi hii naona nje bado anga lina dalili zote la Maji kumwagika tena.
Uongozi uliolaniwa kwa Kumwaga damu za watanzania utakuwaje na mvua za baraka??Hizo ni laana shwaini weweNaam awamu ina baraka tele Hii
Mvua za vuli zimekuwa za msimu
Ni kweli mkuu tunashukuru hata kupatwa kwa jua kule mbarali ni juhudi za awamu ya 5.Naam awamu ina baraka tele Hii
Mvua za vuli zimekuwa za msimu
Utakufa! Pipa nalo linapita juu ya eneo hilo, ni hatari.Nina safari kutoka kili to dar by kesho bora nikwae pipa tu
Umeandika uharo tu hapa.Naam awamu ina baraka tele Hii
Mvua za vuli zimekuwa za msimu
Beben watu na mitungi mpige pesa. Fursa ndo hizo sasaMvua bado inanyesha mpaka muda huu huku tanga
Duuuh, hatari sana. Natamani nirudi Arusha maana niko barabarani (Arusha - Dsm)Mkuu Hapo Lazima Njia Pekee Wanaotoka Kilimanjaro Wapite Njia Ya Handeni Hadi Mkata Safari Iendelee Lakini Wote Bila Shaka Ni Changamoto Ya Mvua Nyingi Sana