Tanga: Eneo la Mandera Wilayani Korogwe barabara kuu kutoka Kilimanjaro kwenda Dar es Salaam haipitiki

Vp Maendeleo Ya Ujenzi Wa Daraja Korofi Hapo Madera Jamani
 
Changamoto Ni Kubwa Hasa Lushoto Watu Saba Wapoteza Maisha Huko Huko Mkoani Tanga, Mvua Nyingi Sana
 
Mvua Ya Jana Dar es Salaam Hatari Mpaka Moo Walikuwa Wanaogelea Tu
 
Hivi Eneo la mandela mnalosema liko karibu na wapi?

Maana hata kati ya Mbwewe na daraja la mto wami nako kuna eneo la mandela kama sijakosea karibu na njiapanda ya kwenda Miono
 
Back
Top Bottom