TANGA: Chuo cha Ualimu hakina huduma ya Internet

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,302
5,441
Chuo cha Ualimu Korogwe Mkoani Tanga, pamoja na kutoa mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), lakini chuo hicho hakina huduma ya internet, hivyo kuwafanya wanafunzi wanaojitunza kozi hiyo kuwa ngumu wakati wa kufanya mafunzo ya vitendo.

Lakini pia, pamoja na Serikali kujenga maktaba ya kisasa kwenye chuo hicho yenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 250, lakini imeshindwa kuweka mtandao wa internet, sababu maabara hiyo pia ina kompyuta kwa ajili ya kujisomea.

Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki (Mei 5) na wanafunzi wa Chuo cha Ualimu Korogwe kwenye risala iliyosomwa na lzadine Masanga kwenye mahafali ya 62 ya chuo hicho kikongwe nchini, ambapo wanachuo 724 walihitimu mafunzo ya stashahada maalumu ya ualimu ya sayansi, hisabati na TEHAMA kwa shule za sekondari.

"Pamoja na mafunzo ya TEHAMA kutolewa chuoni, maabara ya TEHAMA ni ndogo sana na haina vifaa vya kutosha kulingana na idadi ya wanachuo. Kwa mfano, upatikanaji wa vifaa kama vinukushi, printer na vingine vinavyokosekana, Vinasababisha changamoto kubwa sana wakat wa kufanya mafunzo kwa vitendo (practical). Pia kukosa Mkongo wa Taifa.

"Maktaba mpya kubwa na ya kisasa kukosa mfumo wa internet pamoja na vitabu muhimu vyenye kukidhi haja katika masomo ya ngazi mbalimbali. Maombi yetu, tunaomba kuongezewa samani hususani meza na viti kwa matumizi ya wakufunzi na wanachuo madarasani, na kuwekwa mfumo wa internet hususani maeneo ya maktaba mpya na maabara ya ICT" ilisema risala hiyo.

Mkuu wa Chuo hicho Hassan lsmail alisema pamoja na chuo hicho kutoa mafunzo ya sayansi, hisabati na TEHAMA, lakini maabara yake haina mtandao wa internet, huku kompyuta zilizopo kushindwa kukidhi mahitaji ya chuo hicho ambacho kinachukua wanachuo 1,200 kwa wakati mmoja, ambapo kwa sasa wapo wanachuo 1,051.

Mgeni rasmi kwenye mahafali hayo, Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Korogwe Lugano Mwampeta alisema katika kupunguza changamoto ya chou hicho, benki ya NMB itatoa viti na meza vyenye thamani ya Tsh. Milioni tano.

Source: Majira
 
Kwani c wanaenda kufundisha theory tu kule mashuleni Internet ya kazi wakati hata ofisi za wakuu washule za msingi hazina hata computer moja zingine na umeme hamna
 
Prof Adolf Mkenda +255 788 174 071
 
Back
Top Bottom