Tanesko na kibatari

Joined
Jun 26, 2011
Posts
13
Reaction score
2
Basi leo usiku umeme wamekata. Muda wa kula hakuna taa, ikabidi tutumie kibatari. Sister akawa ameshika kibatari kama vile anakibusu wakati tunasali(kubariki chakula) kumbe amevaa kofia bwana. Katikati ya sala dogo akapiga makelele 'dada unaunguaaaaa kofia aaa.watu wote tukafumbua macho kwa mshtuko, hata aliyekuwa anasalisha sala. Yaani huwezi amini kofia imeunguzwa na kibatari bwana.

Shukrani kwa tanesko.
 
Poleni. Lakini vipi dada yako anakaa mezani kula akiwa na kofia kichwani? Mpo Afrika? Nijuavyo hata wazungu hutoa kofia wakati wa maakuli. Ndizo table manners.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…