Tanesco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by johnmoney, Jun 27, 2011.

 1. j

  johnmoney Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana JF!!
  Nilivyokuwa naelewa miaka ya JK wa kwanza, Kipindi cha Mzee wa Ruksa, na hata Mda nyuma kidogo wakati wa BWM, TANESCO ni shirika la umeme Tanzania, lililokuwa linahudumia wananchi wa Tanzania Umeme..!!
  But nowadays, Hii definition imebadilika!, nikiangalia sioni hata inakaribia kwa umaana na kati ya kipindi hicho na sasa...!!
  Si kweli kama ulikuwa Haukatiki , lakini ukisema kipindi hicho tajwa juu ulikuwa unakatika basi Utakiri na Kusema sasa Haupo kabisa.
  Tukumbuke, Hii ni kero kwetu hali ambayo ni ya mtanzania !( Namaanisha mawaziri hawana hari ya Mtanzania)
  Waswahili wanasema , Taratibu Tutafika, ila kwa TANESCO Taratibu TutaKUFA...!!
  Any Comment Please.
   
Loading...