we umepata mgao nini? kichwa maji. unazani ofisi yako ya kizamani ndo zote zipo hivyo?. ofisi full dstv
Nenda kazini wewe, Muda wa kazi unaangalia TV halafu unalia Umasikini?
Du yani umeacha shughuli zako kwa ajili ya kuangalia ripoti ya bunge? No wonder hii nchi umaskini umetamalakihuku kwetu mitaa ya ubungo tabata na sehemu za makoka umeme umekatika.hivi hawa tanesco kukata umeme wanamaanisha nini? wanataka sisi tusisikie na kuona hiyo taarifa au lengo lao ni nini na kwanini wanapenda kutumika kisiasa kiashi hicho? yani wanakera na wanaudhi watu afu wajue kuna watu wengine wameacha shughuli zao ili wapate kusikia na kutazama hayo mambo.
huku kwetu mitaa ya ubungo tabata na sehemu za makoka umeme umekatika.hivi hawa tanesco kukata umeme wanamaanisha nini? wanataka sisi tusisikie na kuona hiyo taarifa au lengo lao ni nini na kwanini wanapenda kutumika kisiasa kiashi hicho? yani wanakera na wanaudhi watu afu wajue kuna watu wengine wameacha shughuli zao ili wapate kusikia na kutazama hayo mambo.