Tanesco hili jibu lenu la kukimbia majukumu. Sijui lini mtajifunza namna bora ya kuhudumia wateja.Kama utakumbuka Maelekezo ya Serikali hapo awali hakuna mteja anayepaswa kununua kifaa chochote cha kumfungia umeme bali ni jukumu la TANESCO kusogeza miundombinu ya umeme kwa wateja wake, tafadhali tusaidie taarifa zifauatazo
Jina
Namba ya Simu
Wilaya
Na kiasi ulichodai kuambiwa ulipie ili tukujipatie ufafanuzi kwa taarifa kamili
TANESCO HUDUMA KWA WATEJA
MAKAO MAKUU
Kitaalamu hauwezi kujibu swali kwa ujumla wake bila kujua ukweli wa taarifa husika, kujibu hivyo ni blabla ambayo taasisi yenye wataalamu kama yetu haiwezi kukurupuka kujibu bila taarifa kamiliTanesco hili jibu lenu la kukimbia majukumu.Sijui lini mtajifunza namna bora ya kuhudumia wateja.
Hapo hujauliza taarifa kamili ndugu yangu wa TANESCO. Hii ni kwa sababu hii issue sio ya kwanza na inaonekana ni loophole ya tanesoco kudhulumu wateja. Rejea huu uzi hapa.Kitaalamu hauwezi kujibu swali kwa ujumla wake bila kujua ukweli wa taarifa husika, kujibu hivyo ni blabla ambayo taasisi yenye wataalamu kama yetu haiwezi kukurupuka kujibu bila taarifa kamili
Asante sana kwa ushuhuda wako, tupo kuwahudumiaWape ushirikiano TANESCO wa JF wakuhudime..Mimi Sina Shaka nao walinitatulia matatizo mawili kwa ubora Sana..
Tanesco hawana BRAND. Tanesco ni Kibanda cha wapiga dili. Tangu nchi hii ipate uhuru hakuna mahali pengine serikalini palipotumika kupiga dili kama TANESCO. Kuanzia KWA mbeba Nguzo mpaka Bodi ya wakurugenzi nafikiri akili zao zinawaza mitindo tofauti ya kupiga dili.
Tafadhali tupatie taarifa kamili za huduma gani tukuhudumie, eneo wilaya na namba ya simuTanesco hawana BRAND.Tanesco ni Kibanda cha wapiga dili.Tangu nchi hii ipate uhuru hakuna mahali pengine serikalini palipotumika kupiga dili kama TANESCO.Kuanzia KWA mbeba Nguzo mpaka Bodi ya wakulugenzi nafikiri akili zao zinawaza mitindo tofauti ya kupiga dili.
Tumeshawaliana na mteja tunasubiri taarifa kamili hakuna hela inayopaswa kutolewa kwa mtu bali kwa taratibu zilizowekwaKuna mtu hapo anatafuta mwanya wa kupiga hela yako
Hebu twende taratibu...Tunaamini kabla ya kutuhumu tungepata taarifa kamili.kwanza nasisi tutoe ufafanizi sahihi hakuna mteja anayepaswa kuteseka nasisi TANESCO tupo
Ndugu zangu Tanesco. Mimi niliripoti kesi zaidi ya 3 za TANESCO hapo kwenu makao makuu. Unajua mliniambiaje? Niende kwenye ofisi yenu kwa sababu ninyi hamfanyi kazi kwa coordination bali kila ofisi inafanya kazi kivyake so mkanipa namba za matawi yenu ambazo tayari nilikuwa nazo so sioni kama kuna jipya kutoka kwenuTafadhali tupatie taarifa kamili za huduma gani tukuhudumie, eneo wilaya na namba ya simu
Tupo kukusikiliza
Utaletewa kama eneo lako lipo kwenye budget ya mwala husika, kama halipo unashauriwa kusubiri tukufikie kwa kuwa usambazaji wa umeme unaenda kwa awamu mbalimbaliHebu twendeni taratibu...
Let's say ninapoishi ni 5km kutoka eneo ambalo lina miundombinu ya TANESCO...
Je, nikitaka huduma yenu mtaniletea umbali wa 5 KM kwa gharama zenu?
Na taratibu zenu ni zipi kama sio hizo hizo za kupiga PESA za wanyongeTumeshawaliana na mteja tunasubiri taarifa kamili hakuna hela inayopaswa kutolewa kwa mtu bali kwa taratibu zilizowekwa
Je ulijibiwa ofisi ya wapi? Kama ni kweli samahani sana, tupatie taarifa zako kwa kuoneshaNdugu zangu Tanesco.Mimi niliripoti kesi zaidi ya 3 za TANESCO hapo kwenu makao makuu.Unajua mliniambiaje?Niende kwenye ofisi yenu kwa sababu ninyi hamfanyi kazi kwa coordination bali kila ofisi inafanya kazi kivyake so mkanipa namba za matawi yenu ambazo tayari nilikuwa nazo so sioni kama kuna jipya kutoka kwenu
Tanesco,Acheni ubabaishaji.Mimi nafahamu kwamba issue sio bajeti.Issue ni ukiritimba wa kuhakikisha kuwa mnajenga mazingira ya upigaji.Utaletewa kama eneo lako lipo kwenye budget ya mwala husika, kama halipo unashauriwa kusubiri tukufikie kwa kuwa usambazaji wa umeme unaenda kwa awamu mbalimbali
Twenda kwenye swala la msingi tafadhali kwani unapata changamoto gani?Tanesco,Acheni ubabaishaji.Mimi nafahamu kwamba issue sio bajeti.Issue ni ukiritimba wa kuhakikisha kuwa mnajenga mazingira ya upigaji.
Mnataka taarifa tena? Mtanipa traking namba leo?Je ulijibiwa ofisi ya wapi? , kama ni kweli samahani sana, tupatie taarifa zako kwa kuonesha
Jina
Eneo
Simu
Tatizo
Toka lini