TANESCO wamekata Umeme sehemu kubwa ya Nchi ya Tanzania, leo 29th Aug 2015

Acheni uongo mbona sisi tuna umeme Dar Mikocheni Kinondoni Msasani kote huko nimepita umeme upo kanunue Luku

Wewe uko kwa Warioba mzee MWENYE ndimi mbili umeme lazima uwepo. Lakini kwa wapumbavu na malofa Umeme umekatwa!
 
Maeneo ya moshi mjini umeme umekatwa tangia saa 3 asubuhi. Umeme umekatwa jijini dar es salaam, na maeneo mengi nchini.

Yote hii ni hujuma na mwendelezo ule ule wa kuinyonga demokrasia na kuwafanya watanzania kuwa watumwa miaka yote.

TANESCOCCM wamekata umeme mikoa ya kilimanjaro, arusha, mwanza, mara, manyara, dar, pwani, lindi, mtwara, ruvuma, singida, shinyanga, rukwa, katavi, bukoba na kigoma.
 
Maeneo ya moshi mjini umeme umekatwa tangia saa 3 asubuhi. Umeme umekatwa jijini dar es salaam, na maeneo mengi nchini.

Yote hii ni hujuma na mwendelezo ule ule wa kuinyonga demokrasia na kuwafanya watanzania kuwa watumwa miaka yote.

Mkuu Tegeta wameukata nusu saa iliyopita ili tusione live, this not fair.
 
Maeneo ya moshi mjini umeme umekatwa tangia saa 3 asubuhi. Umeme umekatwa jijini dar es salaam, na maeneo mengi nchini.

Yote hii ni hujuma na mwendelezo ule ule wa kuinyonga demokrasia na kuwafanya watanzania kuwa watumwa miaka yote.

Itv watarudia the whole thing saa 3 usiku. Labda wazime wiki nzima
 
Acheni kulalamika kama vile ni kitu kipya umeme kukatika,,,, tatizo lenu hata matangzo ya Tanesco huwa hamsikilizi mnabaki kulalamika tu Eti ccm wamekata umeme, kwani umeambiwa kinana ndo mnager mkuu wa Tanesco au Nape? Je mnajua Tanesco wanafanya nini for the last two week hadi October au ndo mnabwabwaja tu? Hamjaona umeme ukikatika mara kwa Mara (tofauti na miezi iliyopita) kwa wiki chache zilizopita, Mbona hamkulalamika? As far as I know Tanesco Wapo kwenye transmission na majaribio ya matumizi ya umeme wa Gas, suala la kulalamika hapa ni Kwanini Tanesco wachague kipindi cha kampeni kubadilisha mfumo wao wa umeme wa mafuta na ku test umeme wa Gas.

Haya malofa msikilizeni raisi wenu lofa kwenye radio (hii ni kwa mujibu wa mc, aliyetangza kuwa anawashukuru malofa kwa kwenda kwa wingi uwanjani na Leo raisi wa malofa atawahutubia malofa wenzake), me sio lofa so Rais wangu Magufuli #HapaKaziTu
 
HapaKaziYaKukataUmemeTu
 
Wamekata pia umeme huku Mwisho wa Lami.

CCM ni tatizo yani...ni shida kwa kweli
 
Back
Top Bottom