Tanesco vs mvua

storyteller

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
1,511
1,844
Habari zenu wana jamvi.

Kiukweli sielewi hili tatizo la tanesco kukata umeme pindi tu mvua inaponyesha, hata kama kamvua kawe ka mm chache tu, wanakata...

Hivi wanafanya hivyo makusudiii na mazoea, au ni miundombinu yao mibovuuuu.......?

Je na huko kwa wenzetu walioendelea iko hivi kweli.....?

Najiuliza sana hayo maswali kwa jinsi inavyokera, kama sahizi wamekata, kamvua kenyewe hata dkk15 haijafika kameisha, na hili joto, mbaya zaidi ni tule tududu tunatonyonya damu......yyyeikhhhh
 
Back
Top Bottom