FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,401
- 2,751
Ukiuliza utaambiwa mama anaupiga mwingi... Au pochi la mama lina mengiHivi kwa hizi mvua ninazoziona, mpaka mjini zinanyesha, huko milimani ndiyo itakuwaje? Yaani hapo ni tufanye mvua ndiyo sababu ya mito kujaa maji, maana yake vyanzo main ni chemchem.
Kama ulikuwa umepanda maharage yako, tegemea kula kande.
Ila TANESCO vipi lakini? Hivi kweli 2022 mnatufanyia hivi kisa siasa? Hivi mama haelewi kwamba ndiyo kawaharibia wanawake nafasi ya kuja kuwa viongozi? Mbona badala ya suluhu ninaona tatizo juu ya tatizo?
Hivi chama chetu pendwa hakioni uendeshaji wa dizaini hii mwishowe ni ukosefu wa amani? Hivi hao kina February hawana utu kweli? Inakuwaje huna hata utu?
Kwenu chakula ilikuwa noma mpaka ukaitwa jina la mboga yetu pendwa, unakosaje utu mzee? Yaani hapo umekoswa koswa kwenye jina la pili maana yake ingekuwa Kande kabisa.
Hata comment sitaki, nishafungua roho wakuu.
Hiyo software inaletwa na meli?Tupo Kwenye Mchakato Wa Ununuzi Wa Software Toka India
Tukikamilisha Umeme Tele
Dah! Lakini hii migao kama vile inakumbushia enzi za J.K mwenyewe.Kwasasa nimeanza kuamini Kikwete ndiye alikuwa rais pekee ambae alikuwa hataki wananchi wake wahangaike
Kilichomponza ni kuweka ushikaji kazini,marafiki zake ndo walikuwa mafisadi
Nakumbuka ili kujitahid taifa lisiwe gizani akaagiza kampuni zenye kuzalisha umeme kwa majenereta ingawaje rafiki zake wakaingiza ufisadi ndani yake lakin ilisaidia kupunguza tatzo
Lakin hili la sasa limekaa kimya kabisa kama hakuna kitu na linataka litutawale miaka 15 bila hata aibu
Ukiskia anaupiga mwingi, jua kuna anayepigiwa.Ukiuliza utaambiwa mama anaupiga mwingi... Au pochi la mama lina mengi
Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
Aione Dr Samia.Nikukomaa tu kwa mashemeji zetu hamna namna. Dada atanikingia kifua tu. Ngoja niwahi kumchukua junior shulen.
Prince Kunta Ncha Kali
Huu umezid,jk mgao ulikuwa unaishia mwez wa 9Dah! Lakini hii migao kama vile inakumbushia enzi za J.K mwenyewe.
Fair enough!!Huu umezid,jk mgao ulikuwa unaishia mwez wa 9