TANESCO Tangi Bovu Mbezi beach tumewachoka

mchepuko

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,192
1,413
TANESCO MbezI beach tumelipia connection charges zaidi ya miezi miwili sasa na tunafuatilia kila siku lakini hakuna huduma manataka rushwa?

Kila siku Leila Meneja wako mnakuja na ngonjera mpya,mara sikumbuki file lilipo mara subiri kesho mara gari liliharibika kwani bure? Basi nitoe gari langu mkaniunganishe hamtaki.

Muhongo tusaidie tunateseka
 
Heee kwani wewe ulikuwa hujui hapo Tanesco mbezi beach ni kichaka cha rushwa? Jamaa wana nyodo sana utadhani unapewa umeme bure kumbe pesa yako, lkn tusichoke kuwakumbusha kuwa wapo pale kwa ajili ya wananchi, la sivyo tutawatumbua, Meneja, Watchout, yr juniors!!
 
MIMI JAMANI sichoki kuomba namba ya Prof Mhongo pengine nitasaidia wengi.....tunaomba msaada jamani tangi bovu ni matesoooo
 
Hao jipu Tena sugu, toka juzi wameitwa Mbezi juu kuna tatizo la umeme kwenye nguzo hawajaenda hadi navotuma hii message hajafika.
 
Hao jipu Tena sugu, toka juzi wameitwa Mbezi juu kuna tatizo la umeme kwenye nguzo hawajaenda hadi navotuma hii message hajafika.
yaani usiombe yakukute ndugu...hawa jamaa tatizo wanafikia lengo kwa urahisi ndio maana hawajali wateja wao wapya wala wa zamani...anaekuja na pesa mkononi ndie anaehudumiwa....tumechoka kwakweli..kama uyu dada anaitwa Leila sitaki hata kumsikia
 
Kuna mti umeangukia nyaya zimedondoka chini hapa nyuma ya future resort karibu na garage, tunawapigia tanesco mbezi beach simu ziko busy tangu asubuhi na zikiita hawapokei, umeme tangu jana usiku umekatika, na nyaya zinaning'inia barabarani kitu ambacho ni hatari sana kwa wapita njia wa miguu, kwa kweli hawa watumishi wa tanesco mbezi beach ni wazembe na hawagai kabisa kuwepo ktk utumishi
 
Hapo Tanesco Mbezi beach ni pa hovyo kabisa. Yaani pameoza kabisa.

Mimi kuunganishiwa umeme nguzo 1 tu ilichukua miezi 2.

Kama watendaji wa Tanesco watataka ushirikiano na mimi kuwaelezea namna ya uhozo wa hapo wani PM

Ila kwa ufupi pale hapafai. Tena huyo mdada Layla anapenda Rushwa sana, kupita Maelezo.
 
Mimi nimelipia December wanadai mita hakuna.zimeisha niendelee kusubiri.Juzi mfanyakazi wao hapo ana niomba laki2 aje aniunganishie mita.Yani nimewachoka akili
 
Mimi nimelipia December wanadai mita hakuna.zimeisha niendelee kusubiri.Juzi mfanyakazi wao hapo ana niomba laki2 aje aniunganishie mita.Yani nimewachoka akili

Ungemrecord tu kama vipi na yeye maana hakuna jinsi sasa
 
Back
Top Bottom