Bujibuji unajua huyu mgonjwa ingawa yupo ICU lakini bado ana mbwembwe, vijembe na mipasho - hebu angalia majibu kwa wateja wake (Tweets) watu8. saudari
Dotworld huwezi kuamini kuwa majibu hayo yanatoka kwenye asasi ya kiserekali, hii ni aibu na kashfa kubwa kwa tanesco, wizara ya nishati na madini na nchi kwa ujumla
bujibuji unajua huyu mgonjwa ingawa yupo icu lakini bado ana mbwembwe, vijembe na mipasho - hebu angalia majibu kwa wateja wake (tweets) watu8. saudari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.