TANESCO: na mgomo wa kuzima umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANESCO: na mgomo wa kuzima umeme

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by SIMBA mtoto, Mar 18, 2012.

 1. SIMBA mtoto

  SIMBA mtoto JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 208
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Baada ya wafanyakazi wa Tanesco kuanza kununua umeme kwa bei ya soko, wameanza mgomo usiokwisha. Wanachofanya ni kuzima umeme kwa kisingizio cha kufanya marekebisho, wanatuma mafundi maeneo mbalimbali, kama ni kukata miti wanakata miti michache kisha hutoweka eneo hilo, kama ni kurekebisha waya au nguzo, husimamisha ngazi kwenye nguzo na kuacha mtu mmoja hapo na wengine kutoweka, umeme hurudishwa jioni sana au usiku.

  Zamani kila mfanyakazi alikuwa anapata unit 700 za umeme wa bure kila mwezi, zikiisha walikuwa wanauziwa kwa robo ya bei ya soko. Mgomo ni wa kimya kimya wakidai utakuwa endelevu hadi warudishiwe haki yao ya kupata umeme wa bure. Uongozi wa shirika bado upo kimiya kuzungumzia tatizo hili linalotafuna taifa na kuzidi kudidimiza uchumi wa taifa.


   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  ndiyo madhara ya nchi kuendeshwa ki-poyoyo
   
 3. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Umekurupuka na thread yako. Wafanyakazi wa Tanesco bado wanaendelea kupeta, kilichofanyika kwa wafanyakazi wa Tanseco ni kuendelea kupatiwa units takribani 750 kwa kununua umeme kwa kutoa Shilingi kama 6,500.00 na Shirika linawaongezea fedha kama Sh. 200,000.00
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wagome tu kwani hata wasipogoma umeme ni tatizo.
   
Loading...