OMUSILANGA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 384
- 227
Niwazi kuwa hapa tulipofikia watanzania bila kujali itikadi tuseme enough is enough.Tanesco wananunua umeme 1watt toka AGGRECO kwa Tsh 700/ halafu wanauza kwa Tsh 141/. Can you imagine? Source:Kipimajoto-ITV-20.1.2012 .MWANAFALSAFA PLATO ALIPATA KUSEMA "Binadamu kamwe hataona mwisho wa matatizo duniani mpaka hapo wenye hekima watakapo twaa madaraka ya kisiasa au pale wenye madaraka ya kisiasa watakapo kuwa wenye hekima." Mwana Jf tafakari chukua hatua. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Jf.