Spiritual Man
Member
- Apr 26, 2021
- 5
- 6
Tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa ufatiliaji zaidi.Tunaendelea.kuwasihi wape dwa wateja wetu kujenga tabia ya kuacha kutoa rushwa au malipo yeyote yasiyo na risitiNawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nikiwa kama muwakilishi wa wanakijiji wenzangu wenye uchungu,majonzi na masikitiko.Moja kwa moja nafikisha malalamiko kwenu shirika letu la umeme Tanzania TANESCO juu ya RUSHWA kubwa iliyotawala katika usimamizi wa mradi wa umeme wa rea katika kijiji cha ZIÑGIBARI,kitongoji cha ZIÑGIBARI wilaya ya MKINGA kata ya MOA mkoa wa TANGA.
Hawa wasimamizi hili wakuunganishie umeme lazima wakutoze pesa nyingi ambazo si rasmi ndio ufungiwe umeme
Baada ya MRADI kukamilika wengine walitozwa 150,000 inaitwa ya soda
Wengine 70,000
Wengine 40000
Ukishalipa hizo yule anayekuja kukufungia mita anataka 10,000 tena,kuna mmoja alikataa kulipa hiyo elfu kumi huyu mtanesco kakasirika na kuondoka na mita.
Sasa awamu hii
Tumeshakamilisha kila kitu na surveyor akafika kalamba 15,000 kila nyumba akafanya kazi yake.
Baada ya hapo Tumefanya malipo yote halali 27,000 Tsh. na kupatiwa risiti na tukajulishwa tusubiri kuja kufungiwa mita
Muda mrefu umepita bila taarifa yoyote na hatimaye tumeletewa taarifa kila anayehitaji apate umeme basi atoe 70,000
Ukitoa leo ukiwapa kesho anakuja anakufungia mita hata kama uko pekee yako.(juzi mwenzetu mmoja alifungiwa pekee yake likaachwa kundi zima)
Na sasa wanatisha kwa kusema muda wowote wanakabidhi MRADI kwa TANESCO na sisi ambao hatujafungiwa ndio basi imekula kwetu.
JE, HIVI NDIVYO MLIVYOWATUMA HAO MLIOWAKABIDHI MRADI HUU WATUFANYIE?
Kama sivyo muwashughulikie haraka kwani wanalitia doa Shirika letu,
Mwanakijiji Mtiifu
Kitongoji cha ZIÑGIBARI
Kata ya MOA
Wilaya ya Mkinga
Waziri yupoNawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mnawaachaje watendaji bila usimamizi? Haya yote yanatokea kwakuwa Tanesco mmeyabariki, kama kungekuwa na usimamizi wa kutosha hapangekuwa na aina hii ya malalamiko, hakuna haja ya kutaka namba za simu, mara zote mnakimbilia namba za simu badala ya ninyi kukimbilia tukioTafadhali onyesha namba yako ya simu kwa ufatiliaji zaidi.Tunaendelea.kuwasihi wape dwa wateja wetu kujenga tabia ya kuacha kutoa rushwa au malipo yeyote yasiyo na risiti
Kwanza nashukuru kwa kuliona na kulijibu bandiko hili,Tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa ufatiliaji zaidi.Tunaendelea.kuwasihi wape dwa wateja wetu kujenga tabia ya kuacha kutoa rushwa au malipo yeyote yasiyo na risiti
Bado rushwa imetawala kwa kasi,na inaendelea. nafanyia kaz wiki hii ushauri wako.Swala lako la rushwa , usiangaika kuja kuchomeana utambi na kuharibu ushahidi.. Unge toa taatifa PCCB kama Tanesco mme wafikishia taarifa na kushindwa fatilia. Maana hapo wilayani kuna kamati ya ulinzi ndio kazi yake hiyo.. wangeshikwa chap.. au Polisi kuna Task Force inayo deal na miradi ya REA na wapo shap kweli
Andamaneni kwa RC mkiwa na media watanyookaNawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nikiwa kama muwakilishi wa wanakijiji wenzangu wenye uchungu,majonzi na masikitiko.Moja kwa moja nafikisha malalamiko kwenu shirika letu la umeme Tanzania TANESCO juu ya RUSHWA kubwa iliyotawala katika usimamizi wa mradi wa umeme wa rea katika kijiji cha ZIÑGIBARI,kitongoji cha ZIÑGIBARI wilaya ya MKINGA kata ya MOA mkoa wa TANGA.
Hawa wasimamizi hili wakuunganishie umeme lazima wakutoze pesa nyingi ambazo si rasmi ndio ufungiwe umeme
Baada ya MRADI kukamilika wengine walitozwa 150,000 inaitwa ya soda
Wengine 70,000
Wengine 40000
Ukishalipa hizo yule anayekuja kukufungia mita anataka 10,000 tena,kuna mmoja alikataa kulipa hiyo elfu kumi huyu mtanesco kakasirika na kuondoka na mita.
Sasa awamu hii
Tumeshakamilisha kila kitu na surveyor akafika kalamba 15,000 kila nyumba akafanya kazi yake.
Baada ya hapo Tumefanya malipo yote halali 27,000 Tsh. na kupatiwa risiti na tukajulishwa tusubiri kuja kufungiwa mita
Muda mrefu umepita bila taarifa yoyote na hatimaye tumeletewa taarifa kila anayehitaji apate umeme basi atoe 70,000
Ukitoa leo ukiwapa kesho anakuja anakufungia mita hata kama uko pekee yako.(juzi mwenzetu mmoja alifungiwa pekee yake likaachwa kundi zima)
Na sasa wanatisha kwa kusema muda wowote wanakabidhi MRADI kwa TANESCO na sisi ambao hatujafungiwa ndio basi imekula kwetu.
JE, HIVI NDIVYO MLIVYOWATUMA HAO MLIOWAKABIDHI MRADI HUU WATUFANYIE?
Kama sivyo muwashughulikie haraka kwani wanalitia doa Shirika letu,
Mwanakijiji Mtiifu
Kitongoji cha ZIÑGIBARI
Kata ya MOA
Wilaya ya Mkinga
@tanesco achani udwanzi!! Sasa namba za simu za nini.?? Mtu anatoa taarifa za rushwa unaomba namba za simu??? Taratibu zinasema mteja akishalipia ni siku 28 za kazi anapaswa kuwa amefungiwa mita.Tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa ufatiliaji zaidi.Tunaendelea.kuwasihi wape dwa wateja wetu kujenga tabia ya kuacha kutoa rushwa au malipo yeyote yasiyo na risiti
Furahia umeme sasaTunashukuru tatizo limetatuliwa na kila kitu kipo shwari
Tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa ufatiliaji zaidi.Tunaendelea.kuwasihi wape dwa wateja wetu kujenga tabia ya kuacha kutoa rushwa au malipo yeyote yasiyo na risiti
Waziri WA nishati hiki ni kilio nchi mzima penye REA. Cha kushangaza transformers zinazowekwa na REA ni mdogo sana kiuwezo haziwezi kuendeshwa kiwanda na wananchi wakapata umeme wa kutosha.Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.