Habari wana JF,
Naomba kutumia platform hii kulitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO kwa uwazi kabisa watutangazie mgao wa umeme au tatizo kubwa sana la umeme kwa wakazi wa Dar es Salaam.
Maana kila siku lazima wakate umeme mara 2 hadi 3 bila taarifa yoyote.
Huku Kimara leo hata siku haijaisha wameshakata mara mbili.
Yaani tunapigwa spana kimya kimya.
I mean ya simu na sio sumu.Hivi nn????.....kinachozuia Tanzania kuwa na mashirika meng ya umeme kama yalivyo ya sumu????
Subiri Mh Lissu akiwa Rais, chini ya Jiwe ni ngumu sana kwani Jamaa hapendi kabisa ushindani. Si unakumbuka walichofanyiwa Fastjet...... Hata upande wa simu anatamani inaki titisielo pekeeI mean ya simu na sio sumu.
..Mtoni Kijichi na mbagala kuu, leo siku ya tatu wanakata kama mara 2-3 na kwa masaa ya kutoshaHabari wana JF,
Naomba kutumia platform hii kulitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO kwa uwazi kabisa watutangazie mgao wa umeme au tatizo kubwa sana la umeme kwa wakazi wa Dar es Salaam.
Maana kila siku lazima wakate umeme mara 2 hadi 3 bila taarifa yoyote.
Huku Kimara leo hata siku haijaisha wameshakata mara mbili.
Yaani tunapigwa spana kimya kimya.
Itakuwa kinyume na matamshi ya "Mungu mtu" kwamba "kitabu" chake hakina mgawo.Habari wana JF,
Naomba kutumia platform hii kulitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO kwa uwazi kabisa watutangazie mgao wa umeme au tatizo kubwa sana la umeme kwa wakazi wa Dar es Salaam.
Maana kila siku lazima wakate umeme mara 2 hadi 3 bila taarifa yoyote.
Huku Kimara leo hata siku haijaisha wameshakata mara mbili.
Yaani tunapigwa spana kimya kimya.
hili swala akiongea lissu tu kesho tanesco, viongozi wa dini, TFF, serikali, raisi, mwenyekiti wa soko kariakoo, mkuu wa wamachinga tanzania na wengine wengi,
watatoa majibu