TANESCO, mgao huu una sababu gani tena?

TANESCO, mgao huu una sababu gani tena?

Tanesco walikuwa hawajui kuwa gesi ni mali ya china kwa miaka 7 ya ya kwanza,baada ya hapo watachukua wa marekani kwa miaka mitano,then tutaangalia kama deni litaisha ndiyo tutaangalia uwezekano wa kuipa tanesco gesi ya kutosha kuendesha hiyo mitambo yao.
 
Watu waliisha amua kuipiga chini toka kitambo ndio maana hata hatuwaulizi tunajua mwisho Wa yote ni 25 Oct.wao waukate tu wakitaka wang'oe na nguzo kabisa.tunajua wamezira.
 
TANESCO wanadanganya watu waamini kuwa mitambo inaunganishwa na gesi ya Mtwara ili kuipigia upatu CCM isipoteze kura kuelekea uchaguzi mkuu, lakini lililo wazi ni kwamba kama kweli wanafanya hivyo basi umeme ungewaka karibu sehemu kubwa ya nchi hv sasa kwani tangu kazi hiyo ianze ni kama wiki ya pili au ya tatu sasa na hatujaambiwa kama kuna lolote limetokea, kwa sasa ilistahili kazi hiyo iwe imemalizika na umeme kuwepo muda wote.
 
Kama mtu anajitambua kabisa bila ushabiki, huna haja ya kuipigia kura Ccm labda uwe mtu wa ndani ya system.
 
Watanzania yapasa sasa kuipumzisha ccm oct 25 hali ni mbaya sana Watanzania tupo Gizani tangu mwezi wa sita.

Tanesco wanatudangaya kila siku, shirika sasa limeanza kufanya siasa kwenye maisha ya Watu.

Umeme sasa imefika hatuoni kwa siku mbila. Chakushangaza umeme unakatwa mahali kwa mahali.

Sasa tunajiuliza kama ni matengenezo ya mitambo ya Gesi, kulikoni umeme usizimwe kote? Kama sio mgao?

Tanesco wawe wazi shirika hili limeshafilisika. Hakuna pesa za kumudu kutoa huduma uo ndiyo ukweli, maana maneno haya yanaongelewa kila mahali kwama hakuna pesa.

Sasa huu ni ujumbe tosha kwa chama cha mapinduzi. Wameshashindwa kuendesha Nchi hii.

Ifikapo oct 25 watazipata salam zetu kwenye sanduku la kura, tumechoka kufanywa Malofa.

Umeme shida. Maji shida. Hajira shida.madawa shida.mishahara ya wafanyakazi shida. Shida kila maali. Ccm mmeharibu kila kitu, tukutane oct 25.

Tatizo la watz hasa wa namna kama ya kwako ni tatizo, kwani kila kitu mnaweka siasa ndani yake, haya mambo ya kitaalamu na kwa kuwa mnatumia muda mwingi kusikiliza siasa naamini pia mna migogoro na familia zenu hasa mkeo, make inaonekana vyama vingi vimepunguza utendaji wa watu mmoja mmoja kwa maana ya kutafuta riziki ya kila siku.

Watu wameacha kufanya kazi wao na siasa, siasa na wao, sasa naona humu JF baadhi yao wanatukana sana watu wa vijijini kuipigia ccm, wamesahau kwamba kila mtu ana haki ya kumpigia kiongozi anayeona anamfaa, co ww uliopo mjini kumchagulia kiongozi eti kwa kuwa upo mjini. make kuwa mjini si kwamba ww ni mjanja sana kuliko wa vijijini, wengi wao waliomjini uelewa wao pia ni mdogo sana na wao wanachagua kwa mkumbo tu.
 
Hata ndani ya system inabidi waiepuke CCM mshahara shilingi ngapi PAYE double digit Watumishi wa CCM wenyewe njaa kali.
 
Tatizo la watz hasa wa namna kama ya kwako ni tatizo, kwani kila kitu mnaweka siasa ndani yake, haya mambo ya kitaalamu na kwa kuwa mnatumia muda mwingi kusikiliza siasa naamini pia mna migogoro na familia zenu hasa mkeo, make inaonekana vyama vingi vimepunguza utendaji wa watu mmoja mmoja kwa maana ya kutafuta riziki ya kila siku.

Watu wameacha kufanya kazi wao na siasa, siasa na wao, sasa naona humu JF baadhi yao wanatukana sana watu wa vijijini kuipigia ccm, wamesahau kwamba kila mtu ana haki ya kumpigia kiongozi anayeona anamfaa, co ww uliopo mjini kumchagulia kiongozi eti kwa kuwa upo mjini. make kuwa mjini si kwamba ww ni mjanja sana kuliko wa vijijini, wengi wao waliomjini uelewa wao pia ni mdogo sana na wao wanachagua kwa mkumbo tu.

Wewe ndo unaleta siasa halafu unajiona mjanja! ukisoma vizuri uliyemquote anaeleza tatizo lililopo nchini kwa sasa wewe unaleta ubabaishaji kama una hoja kaa kimya.
 
Dodoma leo walikuwa wakate umeme lakini kwa kuwa magufuli yupo yapa hapa uwanja wa barafu tuna umeme leo mwayego! akija Luwasa wanakata!
 
Kama unasema umeme kwenu hupo basi utakuwa unaishi ulaya siyo Tanzania au una mahaba na shida kiasi umezizoea na kuzipenda

Mkuu mbona TANESCO hawajatutangazia mgao wa umeme, pia mitaa ya kwetu umeme upo.
 
Huu mgao wa Umeme nlikua nauchukia sana hapo awali. Nlikua nikiamka tu nkakuta hakuna umeme basi kimoyomoyo naanza kuporomosha matusi. Ukawa ndio mchezo wangu kila wanapokata mi tusi linanitoka kimoyomoyo.

Tabia hiyo imeendelea mpaka nikazoea. Nkawaza kua mi huku nabaki nimekasirika full kuwakunjia sura aka uso wa mbuzi Tanesco wakati wenyewe hata hawanisikii.

Nkawaza kua kwanza siko peke yangu naeuchukia huu mgawo. nkawaza vinyozi, wauza grocery, maofisini, stationeries, majumbani etc wote tuko kundi moja kuichukia Tanesco.

Nkawaza kua kumbe kila mgao unapotokea basi chuki dhidi ya Tanesco na CCM inaongezeka. Hivyo basi wacha mgao uendelee ili nasi tuendelee kuichukia Tanesco/CCM pia tuongezeke zaidi na zaidi.

Dubai wana karibia mwaka wa 50 hakujawahi kukatika umeme japo kwa dakika 1 moja tu. Sisi tunaendekeza tu Kigumu Chama Cha Mapinduzi, kigumu
 
CCM chama mfilisi hawezekani na hakubaliki kipindi hiki cha kampeni kuwa na tatitizo la umeme kiasi hiki.

Maeneo mengi ya jiji umeme umkatika toka saa 11 asubuhi hata kama issue ni matengenezo je hakuna mbinu mbadala kuhakisha haukatiki.

Siamini kwa akili ya ccm waruhusu hali hii labda uniambie kuna hujma ndani ya TANESCO.

Jana nilokuwa kariakoo majenereta yamepagwa njiani utazani yanauzwa kila mwenye duka ukimuuliza anatupia lawama ccm.

Mamoja alisema kama umeme wanashindwa kutatua tukiwapa nchi tena hakutakuwa na jipya.
 
Jiongeze, unadhani wafanyakazi wa tanesco hawasikii kifinyo cha maisha! wanawastua watz watafute mabadiliko!
 
baazi ya watz wamezoa matatizo th 25 watapiga kura kuendelea na giza, kulala ktd 1 wanne hp, kunya mj na wanyama,
 
Ni nchi gani karne hii inakata umeme bila kujali adhari za uchumi?
 
3. Tumesikia utetezi kuwa mitambo ya gas iliyowashwa ina nguvu sana hivyo kulazimu kuiwaisha taratibu ili bomba zisipasuke. Je kukiwa na live coverage ya ccm, umeme wa kuwasha tanzania nzima unatoka wapi?

Duh! Nchi inavituko hii!
Huo utetezi wao sio kweli, tanesco wamefilisika ndembe ndembe chaliiii. hawana pesa za kununulia mafuta, ni kwamba wamerudi kwenye hydro power ila kiangazi hiki kinawaumbua...maji hakuna.
Mambo gesi blah blah ni magumashi...
Wanaahidi umeme wa uhakika kuanzia October kwa sababu mvua zinatarajiwa kuanza , kwa hiyo huko watu wapo tumbo joto wanaomba elninyo ije kweli na ije haraka iwezekanavyo....
 
mkurugenzi wa tanesco naye amekuwa mwanasiasa na anatumika msimu huu wa kampeni kuokoa chama, ndio maana hata habari za hiyo gesi zimekuja kipindi hiki, baada ya kuunganisha gesi waliyodai itakua solution wanadai njia za usambazaji ndio zina matatizo lakini umeme upo wakutosha!
 
Back
Top Bottom