TANESCO, mgao huu una sababu gani tena?

TANESCO, mgao huu una sababu gani tena?

Mkitaka mambo haya yaishe dawa ni kuondoa CCM madarakani ... Hawa WEZI hawana wanaloliweza zaidi ya kushibisha matumbo yao.. Tutakuwa vipi na Uchumi wa Viwanda kwa kutegemea umeme wa mgawo?... Grrrrrrrrrr
 
Kwa zaidi ya mwezi sasa TANESCO wamekuwa wakikata umeme karibia nchi nzima kwa muda wa kuanzia masaa 8 hadi 12. Pale awali tulielezwa kuwa katizo hilo la umeme litakuwa kwa muda kama wa wiki moja hivi kwani walikuwa wanaingiza umeme wa gesi kwenye gridi ya taifa, ivyo basi wananchi sasa tungepata umeme wa uhakika.
Lakini wapi, umeme unakatika tena katika kiwango kikubwa zaidi, kwa mfano leo Kimara umeme umekatika saa 10.55 alfajiri na kurudi ni mpaka saa 1 usiku.
Sasa TANESCO jitokezeni mtuambie wananchi shida ni nini...!!?? Maana tunasikia sijui hamjawalipa SYMBION ivyo wameuondoa umeme wao kwenye gridi ndio maana kuna huo upungufu, wengine wanasema ni mgao kama wa miaka mingine nk nk.
Tunataka umeme wa uhakika na sio fix-fix.. mara sijui umeme utashuka bei, utashuka bei vp wakati upatikanaji wake ni wa namna hii ya kimagumashi magumashi...!!
Tumelichoka kabisa hili shirika wana jamvi.
...huku KIBOSHO ROAD umeme unakatika kila siku,asubuhi,mchana,jioni kama kilimo cha umwagiliaji vile...
 
Hii ni nchi ya kipekee,mgombea wa chama tawala anatumia jenereta kuhutubia,kwa kuwa umeme hakuna,NA bado mwananchi ambaye umeme umekwamisha shughuli zake mpaka anakaribia kufilisika anamshangilia!! Ni Tanzania tu!!
 
Kama huu mgao wa kuanzia Jana mpaka Leo jioni hii hamna umeme chuga nzima
 
Wametoa sababu kwamba mitambo inaendelea kuwashwa tuvumilie mpaka Oct 20, sasa sijui Mtwara imegeuka NASA maana hiyo mitambo inayoendelea tu kuwashwa mpaka Oct 20 itakua sio ya Gesi peke yake kutakua pia na mitambo ya Ku launch rockets

Hata ya rocket haiwashwi muda wrote huo,ninaamini japo Mimi si injinia,hill bomba lina junction za kufunga NA kufungua NA wangeweza kulijaza kwa awamu bila kuathiri wananchi
 
Mi siamini kama kuna siku Tanesco watakuwa na huduma nzuri zinazoridhisha wateja wao
 
Mwanza wamekata SAA nane usiku,mpaka sasa saa kumi na mbili jioni hakuna umeme,masaa 13,
 
Hata ya rocket haiwashwi muda wrote huo,ninaamini japo Mimi si injinia,hill bomba lina junction za kufunga NA kufungua NA wangeweza kulijaza kwa awamu bila kuathiri wananchi

Mkuu hii ndio serikali yetu bado inafikiri watanzania inaowaongoza ni Wa enzi za ujima
 
Dodoma ndo zaid asee...
Nashangaa hata wanaosema Hapa kazi tu.cjui kazi gani wanafanya bila umeme
 
Mkuu hii ndio serikali yetu bado inafikiri watanzania inaowaongoza ni Wa enzi za ujima

Kinachonishangaza jumuia ya wafanyabiashara na wenye viwanda iko kimya,jumuia za kiraia kama twaweza wako bize NA siasa,hatujui wagonjwa wanakufa kiasi gani kwa kukosa umeme kwenye vyumba vya operesheni NA ICU,mambo mengi yamekwama
 
Dodoma ndo zaid asee...
Nashangaa hata wanaosema Hapa kazi tu.cjui kazi gani wanafanya bila umeme
Vijana wenye biashara zinazotegemea umeme wanalia tu,inawezekana masaki NA ikulu hakuna mgao ndio maana madhara hawayaoni,
 
We unafikiri tulivyoambiwa malofa kwani uongo ndugu mnyime mwanao vyoote mpatie elimu bora hakika hataisahau mpaka anaingia kaburini.
 
kukatika kwa umeme hovyo na au tanesco kuwapa watumia low voltage au high voltage ni tatizo la kiutendaji...watendaji hawako setious wala hawajali wateja wao...rushwa na utendaji mbovu ni janga la kitaifa kuanzia ngazi za juu hadi watendaji wa chini...mabadiliko uanaojika makubwa sana ktk nchi yetu...
 
Tanesco wameshatuona hatuwezi kuwafanya lolote.
Ndio maana wapo kimya.
 
Back
Top Bottom