Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,907
- 7,123
Haki na amani iwe kwenu.
Je, huu mgao wa umeme wa Tanesco ulioanza leo ni moja ya hatua ya kimedani kuelekea hofu ya maandamo D9?
Unarekebishaje miundombinu usiku?
Unakoseje nishati hii 12hrs.
TANESCO acheni uhuni, wengine umeme unamaana kubwa sana kuliko ujinga wenu wa kudhani mnahahujumu maandamano.
Mnaua uchumi kwa upumbavu. Hizi hasara wanazopata wananchi zitawagharimu.
Rudisheni umeme, eti mnataja hadi maeneo ya Jwtz ili tuwaone mko fair.
Kwana ndo mara kwanza mntaja jeshini kukosa umeme kwa kutaja kabisa JWTZ na sio maeneo ya kikosi kilipo.
Huu ni uhuni na alietoa tanfazo hana akili na propaganda.
Mnashikirik dhuluma dhidi ya wananchi kwa kuwafanya maskini, kisa tu hofu yenu ya maandamano.
Ukitaka kuwa hewani, solar mhm, hata power bank itaisha.
Pata taarifa na chukua hatua.
Tuiombee nchi yetu, tuvuke salama changamoto zozote zile. Tubakie kama taifa imara.