Tanesco Kigamboni hivyo vifaa mnavifata wapi??

Tanesco Kigamboni hivyo vifaa mnavifata wapi??

Joined
Jul 12, 2024
Posts
12
Reaction score
18
Mtu kalipia zaidi ya miezi 2 huu unaenda wa tatu ila hakuna huduma, majibu mnayonipa ni ya hovyo huduma kwa wateja ni ya ovyo umeme kufungiwa nyumbani kwake mpaka anyooshe mkono au?

Kuna watu wameomba na kulipia mbele yangu wamefungiwa tayari mimi bado.

Ukiuliza wanakwambia tunasubiri vifaa kutoka store hiyo store ya vifaa iko china? Au ni pale kurasini? Maaana miezi mitatu ni ajabu sana.

Nataka kufungiwa umeme nimeshalipa nataka huduma sasa maaana sio ya bure nimetoa pesa yangu.

IMG_0793.png
 
Hiyo kampuni NI ya kipumbavu siku hizi Nina mwezi tangu nilipie ukiwapigia wanakwambia waya Yani hii nchi NI ngumu Sana kuishi
 
Back
Top Bottom