Tanesco, huduma ya Luku imekwama tena leo

Tumehangaika sana na hili suala, sijui Tanesco wana shida gani, mimi nadhani kuna shida kwenye management, nimelipa kwa simu tangu asubuhi mpaka mida hii hamna kitu na mbaya zaidi customer care hawapokei simu
 
Tumia Halotel
Imegoma Mkuu nadhani tatizo ni kubwa, niliweka kwa Airtel ikagoma, jirani yangu ameweka kwa M-pesa imegoma, nikaweka kwa Halotel pia imekataa, fedha inakatwa ila meseji hazirudi
 
Halotel ndio mafala nmenunua umeme toka sa3 asbh mpk sas hakuna muamala uliothibitishwa na pesa wamekata nmeshapiga sana simu halotel mpk nmechoka nisubir ndan ya masaa 24 huu ni ukiaz
 
Imegoma Mkuu nadhani tatizo ni kubwa, niliweka kwa Airtel ikagoma, jirani yangu ameweka kwa M-pesa imegoma, nikaweka kwa Halotel pia imekataa, fedha inakatwa ila meseji hazirudi
Nimenunua kwa Halotel muda mfupi uliopita
 
Back
Top Bottom