Tanesco, huduma ya Luku imekwama tena leo

Lakini ni tofauti na kununua umeme wa buku 2 mbili au tano
Ukiwa na matumizi makubwa halafu unanunua kidogo kidogo kwa hali ilivyo kulala giza lazima, mie kipindi kile nilinusulika nilinunua ukagoma baadaye nikatumiwa token voda na tigo, maranyingi ile alarm inashitua napo zinakuwa kati ya 4-5

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Tumehangaika sana na hili suala, sijui Tanesco wana shida gani, mimi nadhani kuna shida kwenye management, nimelipa kwa simu tangu asubuhi mpaka mida hii hamna kitu na mbaya zaidi customer care hawapokei simu
System ya Luku portal GePG ndio inazingua haipeleki feedback kwenye mitandao ya simu ila uki fetch data kwenye database yao unaona umeme uliokwishanunuliwa!
 
Back
Top Bottom