TANESCO hili la umeme Kibiti, Rufiji, Kilwa ni aibu

Maseke ya Meme

JF-Expert Member
Jul 11, 2007
695
914
Inasikitisha sana pamoja na wito wa kuwekeza kwenye viwanda lakini bado kuna wilaya umeme unakatika zaidi ya siku 3 wakati mwingine hadi wiki 2 na hamna mteja anayejua nini kinaendelea na hamjali. Mnakatisha tamaa ya kuwekeza na pia kuwatia hasara wafanyabiashara wadogo kila wakati wanapoanza kuinuka. Chukueni hatua kumaliza hili tatizo linawatia aibu japo hamjali kwa ukiritimba uliopo lakini mnamuangusha mheshimiwa Rais.
 
kama ni kibiti kachukueni nguzo mfanye marekebisho wenyewe.....nani aje apigwe risasi
 
Back
Top Bottom