TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 5,377
- 2,974
Ndugu Mteja,juzi Jumatatu Tanesco Mbagala umeme ulikuwa mkubwa kupindukia, uliunguza vifaa vya majumbani. Jana Jumanne kununua umeme hautumiwi token unaambiwa wanaifanyiakazi na hela hairudishwi.
Pole kwa changamoto hiyo na tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza. Tafadhali tupatie namba ya taarifa ili tuweze kukusaidia zaidi.
Kuhusu kufanya manunuzi ya umeme, tafadhali tupatie namba yako ya mita ili tuweze kukuhudumia.
Asante.^NI