AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 14,721
- 25,523
Habari, ndugu mteja.Wako bize kusherehekea miaka 95 ya uanzishwaji..
NB: ni bora kuzima vifaa vyako vya umeme kuepuka kuunguziwa
Mtego huu unless huikosoi serikali humu jf unaweza kushare location kizembe namna hiyoHabari, ndugu mteja na pole kwa changamoto hii.
Tunaomba tujue eneo uliopo kwa maana ya ntaa, wilaya na mkoa kwa msaada zaidi.
Asante. ^DK
Habari, ndugu mteja.Mtego huu unless huikosoi serikali humu jf unaweza kushare location kizembe namna hiyo
Dar, mnakata na kuzima umeme mwambieni huyo jamaa anaemuelekeza mtoto wake jinsi ya kuwasha na kuzima umeme aache, halafu nguvu inaongezeka na kupungua mnataka kutuchomea nyumba zetu?Habari, ndugu mteja na pole kwa changamoto hii.
Tunaomba tujue eneo uliopo kwa maana ya ntaa, wilaya na mkoa kwa msaada zaidi.
Asante. ^DK
Narudia huyo mtoto anaelekezwa kuzima na kuwasha switch wamuondoe hata km anaililia watachoma nyumba huku.Mtego huu unless huikosoi serikali humu jf unaweza kushare location kizembe namna hiyo
sio DAR tuuuuuDar, mnakata na kuzima umeme mwambieni huyo jamaa anaemuelekeza mtoto wake jinsi ya kuwasha na kuzima umeme aache, halafu nguvu inaongezeka na kupungua mnataka kutuchomea nyumba zetu?
Ukijua hilo eneo ndo mtafanya nini.Habari, ndugu mteja na pole kwa changamoto hii.
Tunaomba tujue eneo uliopo kwa maana ya ntaa, wilaya na mkoa kwa msaada zaidi.
Asante. ^DK
Habari, ndugu mteja.Dar, mnakata na kuzima umeme mwambieni huyo jamaa anaemuelekeza mtoto wake jinsi ya kuwasha na kuzima umeme aache, halafu nguvu inaongezeka na kupungua mnataka kutuchomea nyumba zetu?
Habari, ndugu mteja.
Habari, ndugu mteja.Ukijua hilo eneo ndo mtafanya nini.
Muhimu ni kutozima umeme.
Zima, washa....zima, washa mnaunguza vitu vya watu ndani.
Siku nyingine mnasababisha nyumba kuungua.
Wilaya ya kahama, Hamashauri ya Ushetu, Tarafa ya Mweli, kata ya BulungwaHabari, ndugu mteja na pole kwa changamoto hii.
Tunaomba tujue eneo uliopo kwa maana ya ntaa, wilaya na mkoa kwa msaada zaidi.
Asante. ^DK
Miaka 100 - 5Habari, ndugu mteja.
Tafadhali fahamu kuwa umeme kuzima na kuwaka inasababishwa na sababu tofauti na pia, huduma tunatoa nchi nzima.
Kwahiyo, kufahamu eneo ni muhimu kuweza kutoa huduma kwa haraka na ufanisi.
Asante. ^SB
Wilaya ya kahama, Hamashauri ya Ushetu, Tarafa ya Mweli, kata ya Bulungwa
Habari ndugu mteja,Wilaya ya kahama, Hamashauri ya Ushetu, Tarafa ya Mweli, kata ya Bulungwa
Asante kwa kuwasiliana nasi, tafadhali tufahamishe kama bado unakosa huduma ya umeme kwa msaada zaidi.^MY
Good advice may Allah bless you and your family.Mtego huu unless huikosoi serikali humu jf unaweza kushare location kizembe namna hiyo