TAMWA: Mila kandamizi zinazochochea ukatili dhidi ya Wanawake

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mila kandamizi zimetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la Ukatili dhidi ya Wanawake, na jambo hilo linapaswa kukemewa ili kumaliza Mila hizo

Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimetaja baadhi ya Mila hizo kuwa ni pamoja na Wanawake kuzuiwa kufanya kazi Migodini kwa madai wanapokuwa katika Hedhi, husababisha madini kukosekana
 
Back
Top Bottom