Ulisema uko Kona bwiru eeh?
HUnaugua ugonjwa unaitwa "Intermittent explosive disorder (IED) "
Aaah haaaaa a. Haaa haloooo makavu laivuVitu vinavyo sababisha hasira bila sababu
1- NJAA
2- NYEGE
nk
Duh upo njema kiongoziVitu vinavyo sababisha hasira bila sababu
1- NJAA
2- NYEGE
nk
Huyu ndio wife material
Mambo ya fundi maiko hayo
Kwa raha zetu🙄🙄Naona unamsifia bwana ako
Utaachika wewe Bibi, wengine twajiamini atiSafi kabisa,tikisa uno la sanch usijeachwa
Hadi nimehisi wivu, kama nakuona unavyomanua vile..Ntarudi badae dogo, subiri kwanza nimmanulie Shemeji yako hapa
