Kwema binti mcheshi? Itabidi tuhamuane sasa au...Babu...uncle Ake Numby nimekuhamu mm eti![]()


Tazama namna samaki huyu alivyoruka sarakasi ili kujipatia matunda yaliyo jirani na maji.
Samaki huyu aliyegoma kulala njaa anapatikana Brazil katika bwawa la Bonito.
Nikutakie mwanzo mwema wa wiki na utafutaji mwema wa riziki, Usikate tamaa.View attachment 1264334
Kwema, za huko ulipo?Kwema binti mcheshi? Itabidi tuhamuane sasa au...![]()
Sijui ndiyo nn hiki...View attachment 1264404
Haha hizo kapika TH au Numby wakishua 😂Hizo samosa mbona kama umepika wewe?![]()
Wakishua mapishi yenu ni noma 🏃