mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,867
- 81,310
Hela haziokotwi jamani!!!Uwii!!!! shemeji anajua kunasa ulimbo aisee.....
Hapo shoga ni lazima ufike kileleni vizuri!! kila siku nawaambia humu wadogo zangu mapenzi ya bila hela ni sawa na mgonjwa bila dawa
Yaani nyie mnaongea utafikiri hela zinaota mitini watu wanachuma tu.