leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,352
- 17,007
Uwii!!!! shemeji anajua kunasa ulimbo aisee.....Mimi huyu baba ana tabia ya kuniletea vibunda anaweka hapo, anasema mama........... angalia hizo cha kuzifanyia.
Yani akipanda kitandani, maungo yote yameshalegea na nikikojoa halafu nikaangalia tena zile bahasha majimajiyananitoka tu 😂😂😂
View attachment 3684697
Hapo shoga ni lazima ufike kileleni vizuri!! kila siku nawaambia humu wadogo zangu mapenzi ya bila hela ni sawa na mgonjwa bila dawa
