TAMTHILIYA YA SULTAN (MSAADA)

TAMTHILIYA YA SULTAN (MSAADA)

Lukanka

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
518
Reaction score
538
Natanguliza shukrani wakuu,
najua hapa tupo tofauti na kila mmoja ana uelewa wake, mi nahitaji msaada kwa yeyote mwenye kujua ni wapi nitaweza i download hii movie au Tamthiliya inayoitwa Sultan inayorushwa na kituo cha televishen cha azam. nitashukuru sana wakuu. nawasilisha!!
 
IPO YouTube mkuu , kama unaelewa kiarabu IPO yote full kwa kiarabu na kuna vipande vya kiingereza kama kuanzia kipande cha 1-30 IPO yenye English subtitle halaf kuanzia 40-53 halaf kuanzia 62-93 zipo za English subtitle .
 
Aisee, thanks sana. hizo nimeona ila nilikuwa nataka nipate site ambayo nitaweza download full season ikiwa imekamilika kabisa. mfano labda season 1 ikiwa imekamilika kuliko kuchukua vipande you tube.
 
Back
Top Bottom