Sir Teacher
Senior Member
- Nov 16, 2015
- 111
- 99
Hii tamthilia wanaita SULTANA hatari kwa ndoa yani unakosa tendo, unakuta mwenza sa mbili kapika, hadi na nusu umekula unakuta mara sultana hadi sa tano huko akija kulala umelala, tendo hujapata, nipeni uzoefu nyie ratiba mmezipangaje
