stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,883
- 4,484
Habari zenu? Jamani yeyote alie mpenzi wa tamthiliya hii inayooneshwa ITV na CITIZEN tupeane habari zaidi ningependa kujua anaefahamu marudio yake kwenye citizen tv maana wao huionesha saa8 mda wa taarifa ya habari huku kwetu usiku. Je marudio yao ya wiki nzima ni lini na muda gani?? ITV hawapo serious sana na ratiba yao
Nawasilisha
Nawasilisha