Tamthilia ya Quantico yatumia Kiswahili

Tamthilia ya Quantico yatumia Kiswahili

Nice.

Mwaka huu kuna new movies tatu nimeona wametumia kiswahili.

370c8057c1f006bfa790bc0c1e745cd4.jpg
WAKATI UMEFIKA WA KUMALIZA VITA HII KABLA HAIJAANZA TENA
 
Quantico Swahili scene season 2 episode 1

Source: Picasso
Katika series hii mfasiri wa wanausalama anawadokeza kuwa magaidi wanaoongea Kiswahili siyo wazawa halisi wa Afrika Mashariki kutokana na lafudhi yao, bali magaidi hao walitumia Kiswahili ili kuficha utambulisho wao ili kuzidi kuwachanganya wanausalama.

N.B
Kiswahili ni lugha pendwa ktk Movie nyingi sana na hii ya series kuanza kutumia Kiswahili ni hatua moja ya kufurahia lugha yetu kutumika duniani katika tasnia ya filamu, series na hata Games (video /playstation/ computer) nyimbo za Kiswahili/soundtrack.

Mfano sinema ya Phone Booth (2002) kuna ''machinga anajaribu kuuza bidhaa zake kwa Kiswahili ktk jiji moja la Marekani.

Pia movie ya The A-Team Swahili Scene Kiswahili kinatumika:


Source: Antony Chiha

The A time..bonge moja la movie
 
Tungeanza kuzalisha akina Diamond tangu angalau miaka ya 90's, haya mambo hivi sasa wala yasingetufanya tuwe tunafungulia threads! Lakini dah, nchi yangu haitajwi tajwi popote duniani na ndio maana kinapotokea kitu japo kidogo chenye nasaba na nchi yetu; basi kwetu hiyo ni furaha!
 
Nimetoka kuangalia episode ya leo muda mfupi tu ulopita.

Mwishoni mwishoni wamelonga Kiswahili.
 
Priyanka ndo alishindwa na diamond kwenye bet int award 2015...
 
Back
Top Bottom