Tamthilia ya Huba inakosa uhalisia

Tamthilia ya Huba inakosa uhalisia

Kuna movie moja ya kimarekani niliwahi angalia ni nzuri sana tu ,

Ila walijisahau sehemu moja, kijana anatimiza miaka arobaini tangu kuzaliwa lakini mbwa wa getini ni yuleyule

labda huyo mbwa ni kitukuu[emoji23]
 
kati ya Tamthilia za Bongo inayoongoza kwa UONGO ni hii ya HUBA

DEV kapigwa Risasi yupo ICU lakini TESA kama Mama yake DEV Anaonekana hajapata Mshtuko wowote Kaenda Hospital kajivalia SUTI

KAPAKAA LIP STICK BEGI MKONONI vivyo hivyo na TIMA

Hawaonyeshi UHALISIA wa TUKIO

Watazamaji tulitarajia tuwaone wakiwa na mshtuko Mkubwa

HUBA fanyeni Uigizaji ukiwa na UHALISIA
Kama hampend je
 
Bongo movie wanaozifuatiria most ni low iq individuals..hasa mabeki tatu na mashamba boi..waliokomea la saba..

Kiufupi bongo movie ni taaluma isiyotumia akili bongo lala..


Kigezo cha Mwigizaji bora lazima awe nataaalko..awe mlamba lips.

Kiufupi bongo movie ni genge la wadangaji/malaya na marioo.

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu tafuta movie produced na ben royal,jamaa sio masuper star ila hawaboi.

Mimi sikuwa nangalia hizi makitu zaidi ya comedy tu ila siku nmeangalia movie inaitwa MAISHA NA MUZIKI, huyu jamaa akanivutia nikaja cheki SISI ,CHAGUO, sio kama mbele ila uhalisia umezingatiwa sana.waigizaji hawana majina lakini wanajitahidi

Jamaa wapo mbeya,kuna movie hadi RPG ipo na kalipua ghorofa
 
*jambazi kavua viatu kisha kaingia ndani kuvamia.

hapo ndipo nilipo acha kuangalia narudia hapo ndipo niliachaga kuangalia
 
Bongo movie wanaozifuatiria most ni low iq individuals..hasa mabeki tatu na mashamba boi..waliokomea la saba..

Kiufupi bongo movie ni taaluma isiyotumia akili bongo lala..


Kigezo cha Mwigizaji bora lazima awe nataaalko..awe mlamba lips.

Kiufupi bongo movie ni genge la wadangaji/malaya na marioo.

#MaendeleoHayanaChama
Pia ukiwa mweupe unapewa scene uigize
 
lazima tukubali low IQs sio directors,actors au script writers hata watazamaji ni vilaza kiwango cha lami,hivi unaangalia movie ya kituruki unataka ifanane na ya kibongo kweli uko serious kweli?
jiulize yafuatayo
bajeti ya series ya kituruki
elimu ya directors,actors,script writers wa kituruki
quality ya location za kituruki
teknology ya production companies za kituruki
support ya government ya uturuki kwenye sanaa
platform za kuuzia series za kituruki
sponsors wanaoweka hela kwenye series za kituruki
nk........
halafu unataka movie/series ya kituruki,asia,europe au US iwe na hadhi sawa na kaz ya bongo?!!!!!!kweli tuko siriaz?hapana nadhan wabongo watazamaji ndo vilaza standard gauge.

ngoja niwaambie trump aliwahi sema the america we see and run for in today ERA was built under expensis of blood,sweat and tears,Nothing comes in free MODE penda vya nchi yenu na mvijenge kwa nguvu,akili,roho na mwili then watoto wenu watafurahia siku moja

Shida ya wabongo sjui wanadhan muvi zinatengenezwa bure ….
 
Back
Top Bottom