Tamthilia ya Huba inakosa uhalisia

Tamthilia ya Huba inakosa uhalisia

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2021
Posts
3,079
Reaction score
4,892
kati ya Tamthilia za Bongo inayoongoza kwa UONGO ni hii ya HUBA

DEV kapigwa Risasi yupo ICU lakini TESA kama Mama yake DEV Anaonekana hajapata Mshtuko wowote Kaenda Hospital kajivalia SUTI

KAPAKAA LIP STICK BEGI MKONONI vivyo hivyo na TIMA

Hawaonyeshi UHALISIA wa TUKIO

Watazamaji tulitarajia tuwaone wakiwa na mshtuko Mkubwa

HUBA fanyeni Uigizaji ukiwa na UHALISIA
 
Bongo movie wanaozifuatiria most ni low iq individuals..hasa mabeki tatu na mashamba boi..waliokomea la saba..

Kiufupi bongo movie ni taaluma isiyotumia akili bongo lala..


Kigezo cha Mwigizaji bora lazima awe nataaalko..awe mlamba lips.

Kiufupi bongo movie ni genge la wadangaji/malaya na marioo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna hz tamthilia za kihindi zinazooneshwa azam tv huwa nazo zimekaa kibongo bongo tu

Waturuki nimewapa vyeo vyote hawa jamaa huwez otea mwendelezo wa muvi,waandishi wa kula wanaakil sana
 
Wanaume wa Dar hao.Wa mikoani acha tuendelee na ujenzi wa Taifa.
lazima tukubali low IQs sio directors,actors au script writers hata watazamaji ni vilaza kiwango cha lami,hivi unaangalia movie ya kituruki unataka ifanane na ya kibongo kweli uko serious kweli?
jiulize yafuatayo
bajeti ya series ya kituruki
elimu ya directors,actors,script writers wa kituruki
quality ya location za kituruki
teknology ya production companies za kituruki
support ya government ya uturuki kwenye sanaa
platform za kuuzia series za kituruki
sponsors wanaoweka hela kwenye series za kituruki
nk........
halafu unataka movie/series ya kituruki,asia,europe au US iwe na hadhi sawa na kaz ya bongo?!!!!!!kweli tuko siriaz?hapana nadhan wabongo watazamaji ndo vilaza standard gauge.

ngoja niwaambie trump aliwahi sema the america we see and run for in today ERA was built under expensis of blood,sweat and tears,Nothing comes in free MODE penda vya nchi yenu na mvijenge kwa nguvu,akili,roho na mwili then watoto wenu watafurahia siku moja
 
Back
Top Bottom