Jamani wadau wa JF nimefuatilia kwa makini mjadala wenu kuhusu hiki chuo chetu kipya cha Tanzania International University(TIU). Nataka kuwahakikishia na kuwaondoa wasiwasi kuwa hiki chuo kipo na Mipango ya kukianzisha ilianza toka 2010 kwa ku-prepare curriculum, kujenga majengo nakufanya vitu vingine ambavyo vitafaa kwa chuo kuweza kukubalika na TCU lakini pia kuwezesha kutoa elimu bora ya chuo kikuu pindi TCU watakopo ruhusu chuo kianze ku-enrol wanachuo. Kwahiyo basi naomba kuwahakikishia wanaJF na watanzania kiujumla kuwa chuo kipo Kimara Mwisho njia ya kwenda Bonyokwa nafasi za kazi zilizotangazwa ni za Kweli hakuna utapeli wowote mtu anayejiona anafit kwenye post yeyote kati ya zile zilizotangazwa atume maombi yake; kwani chuo kinahitaji wahadhiri wa ngazi zote toka ma-professor hadi ma-tutorial ili kiwe na uwezo wa ku-enrol student mwaka huu. Ndugu za wanaJF na watanzania wote tuachane na maneno mbovumbovu yasiyokitakia chuo hiki kimpya TIU maendeleo. Mwisho kabisa nawaweke link ya TCU inayoonyesha chuo hiki kimesajiliwa kwa REG No CR1/028 ila kinasubiri kuanza ku-enrol wanafunzi baada ya kuajili wa2 wenye sifa nzuri kama nyie http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Recognised_Universities_Colleges_Centres.pdf baada yakufunguka angalia no 20. WanaJF jitokezeni ombeni kazi kwani hizi kazi pia zimetangazwa katika mitandao ifuatayo http://www.brightermonday.com/jobs/default.asp?bmed=tz na http://www.zoomtanzania.com/sectionoverview?ParentSectionID=8&CurrentPage=3&SortBy=MostRecent waweza zi-copy link hizi na kuzi-paste kwenye browser bar. Kuhusu website yetu ambayo ni main page iko katika kutengenezwa baada ya mwezi mmoja kila kitu kuhusu chuo chetu hiki kipya TIU kitakuwa pia kinapatikana humo. Niwatakieni WanaJF wote kazi njema.
"We Build the Kingdom"
Huu ndo msemo wa wana-Tanzania International University (TIU)
KARIBUNI SANA
jamani kama kuna mtu aliangalia ISIDINGO jana naomba atusimulie kidogo umeme kwetu ulikatika!
Mkuu acha woga wale mbona tutawapiga kwao pia kama walivofanya wao..Afu unaonaje game ya leo vp Barca atachomoka san siro.??Hivi Arsenal kama EPL hatumo, FA hatumo, UEFA tumefungwa nyumbani kwanini tusimfukuze Arsene Wenger??
Yaani huu sasa mwaka karibia wa nane vikombe tunafanya kuvisikia tu kwa wenzetu, huu ni ujinga huu!!!
What you have is anything but a university. This is clear from the way you explain what the university is. Your command of language is next to zero - you are mixing Kiswahili and Kiingereza. Imagine what you have just said was a press release from a reputable University like the University of Dar es Salaam. I picked the problem from your Vacancy announcements as well. You consistently referred to Lecturers as Lectures.
Mi nakuambia kwao pale Munich hatutoki. We sema nani hakuwepo jana ambae labda atakuja kutuokoa kule??Mkuu acha woga wale mbona tutawapiga kwao pia kama walivofanya wao..Afu unaonaje game ya leo vp Barca atachomoka san siro.??
Jamani wadau wa JF nimefuatilia kwa makini mjadala wenu kuhusu hiki chuo chetu kipya cha Tanzania International University(TIU). Nataka kuwahakikishia na kuwaondoa wasiwasi kuwa hiki chuo kipo na Mipango ya kukianzisha ilianza toka 2010 kwa ku-prepare curriculum, kujenga majengo nakufanya vitu vingine ambavyo vitafaa kwa chuo kuweza kukubalika na TCU lakini pia kuwezesha kutoa elimu bora ya chuo kikuu pindi TCU watakopo ruhusu chuo kianze ku-enrol wanachuo. Kwahiyo basi naomba kuwahakikishia wanaJF na watanzania kiujumla kuwa chuo kipo Kimara Mwisho njia ya kwenda Bonyokwa nafasi za kazi zilizotangazwa ni za Kweli hakuna utapeli wowote mtu anayejiona anafit kwenye post yeyote kati ya zile zilizotangazwa atume maombi yake; kwani chuo kinahitaji wahadhiri wa ngazi zote toka ma-professor hadi ma-tutorial ili kiwe na uwezo wa ku-enrol student mwaka huu. Ndugu za wanaJF na watanzania wote tuachane na maneno mbovumbovu yasiyokitakia chuo hiki kimpya TIU maendeleo. Mwisho kabisa nawaweke link ya TCU inayoonyesha chuo hiki kimesajiliwa kwa REG No CR1/028 ila kinasubiri kuanza ku-enrol wanafunzi baada ya kuajili wa2 wenye sifa nzuri kama nyie http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Recognised_Universities_Colleges_Centres.pdf baada yakufunguka angalia no 20. WanaJF jitokezeni ombeni kazi kwani hizi kazi pia zimetangazwa katika mitandao ifuatayo http://www.brightermonday.com/jobs/default.asp?bmed=tz na http://www.zoomtanzania.com/sectionoverview?ParentSectionID=8&CurrentPage=3&SortBy=MostRecent waweza zi-copy link hizi na kuzi-paste kwenye browser bar. Kuhusu website yetu ambayo ni main page iko katika kutengenezwa baada ya mwezi mmoja kila kitu kuhusu chuo chetu hiki kipya TIU kitakuwa pia kinapatikana humo. Niwatakieni WanaJF wote kazi njema.
"We Build the Kingdom"
Huu ndo msemo wa wana-Tanzania International University (TIU)
KARIBUNI SANA
Nikweli hiyo 20,000 ipo atatakiwa kutoa mtu yule tu atakayeitwa kwenye interview na huo ni msimo wa chuo na hautabadilika. Labda niwape mfano mmoja mtu analipia form fulani kwaajili ya kujiunga na chuo au shule anafanya mtihani akifeli hela huwa anarudishiwa? kiukweli huwa harudishiwi na hivyohivyo pia kwenye vyeo vya kisiasa kama uraisi,ubunge n.k utaratibu huu upo.
OK tapeli la chuo kanjanja TIU..we shall see hao mtakaowaita na kuwa charge...ndo utajua kwamba kila kitu kina utaratibu,ingekuwa nchi inaendeshwa utakavyo cjui kama tungekuwa hapa.na ww JF wakucharge kwa kuleta tangazo lako mbofu mbofu,who are you kutoa tamko lisiolo hata na cheo cha mtoa tamko,msonyooooooooooooo
Jamani wadau wa JF nimefuatilia kwa makini mjadala wenu kuhusu hiki chuo chetu kipya cha Tanzania International University(TIU). Nataka kuwahakikishia na kuwaondoa wasiwasi kuwa hiki chuo kipo na Mipango ya kukianzisha ilianza toka 2010 kwa ku-prepare curriculum, kujenga majengo nakufanya vitu vingine ambavyo vitafaa kwa chuo kuweza kukubalika na TCU lakini pia kuwezesha kutoa elimu bora ya chuo kikuu pindi TCU watakopo ruhusu chuo kianze ku-enrol wanachuo. Kwahiyo basi naomba kuwahakikishia wanaJF na watanzania kiujumla kuwa chuo kipo Kimara Mwisho njia ya kwenda Bonyokwa nafasi za kazi zilizotangazwa ni za Kweli hakuna utapeli wowote mtu anayejiona anafit kwenye post yeyote kati ya zile zilizotangazwa atume maombi yake; kwani chuo kinahitaji wahadhiri wa ngazi zote toka ma-professor hadi ma-tutorial ili kiwe na uwezo wa ku-enrol student mwaka huu. Ndugu za wanaJF na watanzania wote tuachane na maneno mbovumbovu yasiyokitakia chuo hiki kimpya TIU maendeleo. Mwisho kabisa nawaweke link ya TCU inayoonyesha chuo hiki kimesajiliwa kwa REG No CR1/028 ila kinasubiri kuanza ku-enrol wanafunzi baada ya kuajili wa2 wenye sifa nzuri kama nyie http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Recognised_Universities_Colleges_Centres.pdf baada yakufunguka angalia no 20. WanaJF jitokezeni ombeni kazi kwani hizi kazi pia zimetangazwa katika mitandao ifuatayo http://www.brightermonday.com/jobs/default.asp?bmed=tz na http://www.zoomtanzania.com/sectionoverview?ParentSectionID=8&CurrentPage=3&SortBy=MostRecent waweza zi-copy link hizi na kuzi-paste kwenye browser bar. Kuhusu website yetu ambayo ni main page iko katika kutengenezwa baada ya mwezi mmoja kila kitu kuhusu chuo chetu hiki kipya TIU kitakuwa pia kinapatikana humo. Niwatakieni WanaJF wote kazi njema.
"We Build the Kingdom"
Huu ndo msemo wa wana-Tanzania International University (TIU)
KARIBUNI SANA
Jaman, tufike mahali tuelewe kuwa wakati mwingine huwa kuna typing err :shut-mouth:What you have is anything but a university. This is clear from the way you explain what the university is. Your command of language is next to zero - you are mixing Kiswahili and Kiingereza. Imagine what you have just said was a press release from a reputable University like the University of Dar es Salaam. I picked the problem from your Vacancy announcements as well. You consistently referred to Lecturers as Lectures.