PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,575
- 9,151
Tunda kitu gani tupa kule, nunua sabuni yako tena yenye marashi zama bafuni
Tunda kitu gani tupa kule, nunua sabuni yako tena yenye marashi zama bafuni
Ni ofa mpendwa au nkishakunywa ndo nijiandae "kufahamiana"?
mbona baby wako mwenyewe halalamiki? au anapenda?
Wifi mbona wancheka atii
Hata grocery tu sina, ehuuuuu itabidi ninunue ngano atakaetaka bia nampa ngano akajitengenezee