TAMKO LA UVCCM na Mwelekeo wa Kisiasa Nchini

Kila mtu anataka changes hatujali zinaletwa na nani lakini si kwa unafiki kama huu tunataka mtu akisema anataka change ionekane inatoka moyoni, mifano ya matamko ya kinafiki ipo mingi kama wale wabunge wa CCM waliokuwa wanajiita wapiganaji kumbe walikuwa wanapigania matumbo yao huo ndio unafiki tusioutaka.

kwa hiyo wewe unafiki wa UVCCM kwenye hili unaupima kwa lipi? kipimo gani kinatumika kuangalia mioyo ya watu? na chakushangaza hata hilo tamko hujaliona!!!!
 
hivi mnataka mabadiliko au credit ya mabadiliko inakwenda na nani? hapo ndipo suala la ushabiki wenu linaponishinda, kwani ni nani mwenye haki miliki ya kupinga malipo ya dowans? CDM au Sitta?

Tatizo ni pale ccm ikiteka hoja tumeliwa! Angalia vita ya ufisadi ilivyotekwa nyara na kusambaratishwa na ccm! UVCCM wanataka kukata tawi walilokalia? It is something that is next to impossible!
 
We are watching this song verry close. Lakini sina ska hapa kwamba watakaojiuzulu ni AG na Ngeleja.

Hajiuzulu mtu ni biashara kama kawaida subiri uone utabiri ukitimia desturi ya uwajibikaji hapa kwetu ni ndoto!
 
Ni vema kama nao wanaamuka, iwe kinafiki, au la, yote ni mchakato wa mapinduzi ya tanzania mpya. Tanzania bila ushabiki wa vyama ina wezekana. Tanzania ya watanzania kwanza...
 
We are watching this song verry close. Lakini sina ska hapa kwamba watakaojiuzulu ni AG na Ngeleja.

Hajiuzulu mtu ni biashara kama kawaida subiri uone utabiri ukitimia desturi ya uwajibikaji hapa kwetu ni ndoto!
 
Kuna mwana JF - AK-47 amepost kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko post ikisema "uvccm yaicharukia serikali" maelezo yakiwa:

"UVCCM leo wameonyesha ukomavu wa hali ya juu na kuguswa na maslahi ya taifa baada ya kutoa matamko kadhaa likiwemo la kuitaka serikali kuwataja hadharani wamiliki wa Richmond ili wabebe mzigo wa kuilipa Dowans sh bilioni 94 inayodai Tanesco. Aidha wametaka bodi ya mikopo ivunjwe kwa kuwa imeshindwa kazi kiasi cha kuzusha maandamano ya wanafunzi wa vyuo kila kukicha. Kama haitoshi wameitaka serikali kutoa ajira kwa vijana badala ya kuacha hali ilivyo sasa ambapo vijana wengi wapo mitaani hawana ajira jambo ambalo ni hatari."
 
Hajiuzulu mtu ni biashara kama kawaida subiri uone utabiri ukitimia desturi ya uwajibikaji hapa kwetu ni ndoto!

hawa akina lowasa, mwinyi, simba, chenge,msabaha, karamagi waliowahi kujiuzuru walitumia desturi ya uwajibikaji wa nchi gani? Moto ukizid kuna viongozi watatema nyadhifa
 
Tatizo ni pale ccm ikiteka hoja tumeliwa! Angalia vita ya ufisadi ilivyotekwa nyara na kusambaratishwa na ccm! UVCCM wanataka kukata tawi walilokalia? It is something that is next to impossible!

kwa hiyo unasema UVCCM wala CCM hawastahili kusema serikali isiilipe DOWANS? nani anayestahili sasa?
 
Niliandika hivi kwenye fb yangu jana:
t just hit me.. President might come out the hero of Dowans saga. I have been wondering what is the meaning of his silence. Then like lightning in the middle of the night; it hit me. What if he would emerge the hero by stopping Dowans payments like what he did with the New Constitution? Brilliant!

Tatizo ni kuwa hali iliyopo ni 'damn if you do and damn if you don't'. Akikubali Dowans walipwe Mwakyembe na Sita ni lazima wajiuzulu. Akisema kuwa wasilipwe AG na Ngeleja lazima nao wajiuzulu.

Good analysis! Na kwa trend jinsi inavyoenda,nadhan 6 na Mwakyembe wil b out!
 
kwa hiyo wewe unafiki wa UVCCM kwenye hili unaupima kwa lipi? kipimo gani kinatumika kuangalia mioyo ya watu? na chakushangaza hata hilo tamko hujaliona!!!!
Ndio maana nasema ni wanafiki tu hata kabla ya tamko lenyewe kuliona, unataka kuniambia wamebadilikaje kwa mwezi mmoja usijekuta hata ukumbi wa kutolea tamko umelipiwa na Makamba shit.
 
TBC taifa imetangaza kwenye taarifa yake ya habari ya saa mbili usiku (ni hivi punde tu) hiyo habari ya uvccm.
 
Hawa wameogopa uvccm mara kujitenga, hawa wa mara nawaamini lakini siyo viongozi wa uvccm taifa. Tusikibali hoja ya mabadiliko iongozwe na ccm wenyewe watatuchakachua tu. Uzuri kwa sasa wameshalikoroga lazima walinywe maana upande wa pili kuna watu wenye akili kuliko wao.
Uendelee kuwabana lazima jk na ccm watasalimu amri tu. Kuna issue nyingi ambazo hawataweza kuzikwepa zote lazima mtego uwanase. Hili la dowans lazima liibue makubwa zaidi ya haya ya sasa. Pole uvccm maana hutaweza kuwabadilisha watanzania makini kwa tamko la kulinda masilahi ya ufisadi.
Kama nyie ni wanaume tuondoleni RA
Tuone kama hajafa na JK wenu. RA aking'okaj JK lazima aende na maji pia kwa sababu ameshaingizwa kingi na mafia .
 
Wakuu mnaweza msiamini kile ninachokipost hapa sasa hivi, lakini ukweli kwa mara ya kwanza leo UVCCM Taifa wametoa tamko zito lililosomwa na katibu mkuu wa taifa ndugu Shigela wameonesha wazi kuchoshwa na ccm na leo ndio wametaja kazi za uvccm ni nini, wamempa angalizo kali JK kwamba hawawezi tena kuvumilia kuangalia nchi inavyozidi kuangamia, na wamesisitiza kimya chao kilikuwa kina maana ya NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK. kwahiyo wamesisitiza hawajakurupuka.
Najitahidi kulipata hilo tamko niliweke hapa jamvini maana ndio limetoka kusomwa jioni hii.

My take: sasa naona ukombozi wa kuirudisha nchi yetu mikononi mwetu upo karibu kuliko vile nilivyotarajia.

jambo lolote linalofanywa na CCM na taasisi zake mimi huziona kama propaganda.

i don't trust them.

hiyo ni karata za CCM tu.
 
ni angalizo zuri!!

I have watched the news about it...'old wine in a new bottle'but @least they have tried..am thinking these guys are backing one undisclosed presidential candidate from CCM so tutaona mengi mwaka huu
 
Wakuu mnaweza msiamini kile ninachokipost hapa sasa hivi, lakini ukweli kwa mara ya kwanza leo UVCCM Taifa wametoa tamko zito lililosomwa na katibu mkuu wa taifa ndugu Shigela wameonesha wazi kuchoshwa na ccm na leo ndio wametaja kazi za uvccm ni nini, wamempa angalizo kali JK kwamba hawawezi tena kuvumilia kuangalia nchi inavyozidi kuangamia, na wamesisitiza kimya chao kilikuwa kina maana ya NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK. kwahiyo wamesisitiza hawajakurupuka.
Najitahidi kulipata hilo tamko niliweke hapa jamvini maana ndio limetoka kusomwa jioni hii.

My take: sasa naona ukombozi wa kuirudisha nchi yetu mikononi mwetu upo karibu kuliko vile nilivyotarajia.

Kikwete ataendelea na ukimya wake maana mgawo wake katika malipo ya DOWANS ameushapangia bajeti na yule mtetezi maarufu wa uongo/mafisadi pale Ikulu kwa jina Salvatory Rweyemamu atatoa tamko kesho la Ikulu na kusema kwamba UVCCM hawakufuata ILANI YA UCHAGUZI ya mwaka 2010 ambayo ilisema kwamba DOWANS ni lazima walipwe hata majani tutakula lakini DOWANS ni lazima walipwe mabilioni yao.

WIKILEAKS REVOLUTION kama ile ya TUNISIA inazidi kukaribia. Tutege masikio.

I have watched the news about it...'old wine in a new bottle'but @least they have tried..am thinking these guys are backing one undisclosed presidential candidate from CCM so tutaona mengi mwaka huu

now you talk, baby.
 
Back
Top Bottom