TAMKO LA UVCCM na Mwelekeo wa Kisiasa Nchini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TAMKO LA UVCCM na Mwelekeo wa Kisiasa Nchini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Matola, Jan 20, 2011.

 1. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Wakuu mnaweza msiamini kile ninachokipost hapa sasa hivi, lakini ukweli kwa mara ya kwanza leo UVCCM Taifa wametoa tamko zito lililosomwa na katibu mkuu wa taifa ndugu Shigela wameonesha wazi kuchoshwa na ccm na leo ndio wametaja kazi za uvccm ni nini, wamempa angalizo kali JK kwamba hawawezi tena kuvumilia kuangalia nchi inavyozidi kuangamia, na wamesisitiza kimya chao kilikuwa kina maana ya NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK. kwahiyo wamesisitiza hawajakurupuka.

  Najitahidi kulipata hilo tamko niliweke hapa jamvini maana ndio limetoka kusomwa jioni hii.

  My take: sasa naona ukombozi wa kuirudisha nchi yetu mikononi mwetu upo karibu kuliko vile nilivyotarajia.

  The Statement:

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  NB: Thanks Mdau ulitufikishia hili.
   
 2. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  kaaazi kwelikweli, tutafika tu!!!
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  nami nimemsikia!nina uhakika 2015 CCM haitafika ikiwa madarakani!
   
 4. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Sasa umekimbilia nini kupost kama huna hilo tamko? Cha muhimu ni tamko kuliko comment zako! Thanks for your time anyway!
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Matola lete habari! yaani umenifanya niache kilakitu nasubiri tamko! Posti hiyo habari haraka plz!
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,460
  Trophy Points: 280
  Asante Matola. Ni kweli ni ngumu kuamini kwa UVCCM hii ya vuvuzela la CCM kutoa tamko kali!.Hilo tamko lao kali itakuwa ni kubadili tuu mlio wa vuvuzela kama wafanyavyo hao wapiganaji wao!.
   
 7. M

  Mnyalu wa Kweli JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 233
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Where is the statement comrade? I can't wait to read it. Fanya faster comrade
   
 8. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Shaka...mashaka!Aibiwi mtu hapa...
   
 9. jambo1

  jambo1 JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2011
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawa vijana nao waache unafki...Wamesema wamefanya uchunguzi sasa kama kuna viongozi wabovu si wawataje.....!Viongozi wazembe akina nani...,Makamba au Mary Chitanda au JK mwenyewe...,.hawana majina.....!?
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama ni kweli wafuasi wao wenyewe wanaonyesha kutokuridhishwa na mambo yanavyoenda tutafika huko tuendako!
   
 11. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ila wanajamvi tuwe makini sana na hawa jamaa, bado siamini kama kweli wapo kwa ajili ya ukombozi wa kweli.... Nahisi baada ya kuona vijana wamechoshwa na mizengwe ya chama chao sasa wanatumia janja hiyo kuteka akili zao.... tuwe makini sana, tusijejikuta tumetegeka kwa mitego ya kipuuzi na baadae kuja kujilaumu :amen:
   
 12. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,200
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Ukisema tu ni tamko kali binafsi siwezi kuelewa isijekuwa ni kali dhidi ya Upinzani na ukosoaji. Though inawezekana kwani ninaye rafiki yangu M/kiti wa UVCCM Wilaya mojawapo alinitamkia hadharani kwamba haridhiswi na mambo yanvyoenda na kwamba anapenda CDM ikue zaidi ili CCM isambaratike. Lete tamko basi bwana Matola
   
 13. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mtoto wa simba ni simba baba. Utacheza naye akiwa mtoto akikua anaangamiza mbuzi wote kwenye zizi!
   
 14. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,721
  Likes Received: 1,630
  Trophy Points: 280
  ngojeni basi haraka ya nini subiri apate uakika alfu tujadili
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  lete tamko,bt i dn trust them-uyo alovalishwa kengele namhurumia
   
 16. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,989
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  Umesema UVCCM wamechoshwa na CCM?
  Not so fast my friend....

  Nape Nnauye yuko wapi vile??

  Na yule mwingine nani sijui...Masauni..yuko wapi?
   
 17. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Mkuu pasco nakwambia litamtokea puani huyo msomaji Sijui Shigela..huyo si ndo anapigwa vita huyo? Riz1 &co watamgeuka hivi punde..Ccm ni ile ile milele.. Kwani kinachowafanya kina 6,mwakyembe,magufuli wasiaminiwe na werevu ni kipi? Mvinyo mpya kamwe haudumu in old botle!..
   
 18. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,899
  Likes Received: 12,031
  Trophy Points: 280
  Mtoto wa mbwa ambwekea mwenye mbwa, changa la macho hilo.
   
 19. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #19
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  watanzania kwa kupenda matamko hamjambo!!
   
 20. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  ni angalizo zuri!!
   
Loading...