Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,578
- 7,281
Hapa naona hisia zimeshinda uhalisia. Mikopo ya serikali haitoshi kwa jinsi yeyote utakavyo angalia. Watu wana uhitaji ndo maana wako tayari kwenda TSSF. Serikali inalijua hili lakini wamesubiri mpaka watu wanauliza maswali. Na jinsi waziri alivyo jibu ni wazi ya kuwa hata yeye mwenyewe hajui legal status ya TSSF.
Cha msingi serikali imalize uchunguzi wake mapema na itoe majibu. Kama hawa jamaa sio genuine basi sheria ifuate mkondo wake vinginevyo waombe radhi (serikali) na wenye uhitaji wakaombe mikopo huko kama serikali haitoshelezi wanaohitaji. Kama hujui status ya kitu sema tu tunalifanyia kazi, bakiza maneno.
Issue kwa taifa ni kama TSSF inaongeza access to higher education, kama wanafanya hivyo kihalali waungwe mkono na waizara, TCU na HESLB na watangazwe/wajitangaze ipasavyo. Hii habari ya sijui priority courses imepitwa na wakati.