Tamko la Serikali

Paulina Gekul (dada yangu) anasisitiza kuwa ni sahihi kushinikiza waziri mkuu kujiuzulu, kwa maana ya kuiwajibisha serikali

Mwana dada huyu nimesoma naye UDSM tulikuwa tunakutana sana kwenye lecture za Political Science. Alikuwa very ambitious for change good work to her
 
Kikwete hana habari.

apate wapi habari ndugu yangu? jamaa anakula ubwabwa wa kwenye msiba, huku akiomba msiba mwingine utokee akaunganishe huko huko!

Kikwete anaiogopa nchi yake kwa ajili ya Godbless Lema
 
Huwezi amini kama alikuwa waziri wa sayansi na technolojia.......mpoleeeeeee

Arudi SUA nafasi yake ya kufundisha bado ipo ilimradi asijehapa kutaka vyeo maana alikuwa DVC-Academics akakimbilia siasa. Karibu sana Prof. Msolla watu wanakukumbuka ulivyokuwa unaruhusu Academicians kwenda kuongezea shule bila wivu. Saizi tupo na dvc hataki kusikia vijana wanaenda kusoma hata kama umejitafutia Scholarship yakwako eti hana hela za kuwalipa part time na hivyo watu wafundishe mpaka lini sijuwi. Msolla karibu kwa mikono miwili baba.
 
Mwana dada huyu nimesoma naye UDSM tulikuwa tunakutana sana kwenye lecture za Political Science. Alikuwa very ambitious for change good work to her

sawa mkuu, she is very critical to the point of no return
 
Anaongea profesa Maghembe anazungumzia umuhimu wa kilimo na kauli mbiu mbali mbali kama:- Kilimo ni uhai,kilimo cha kufa na kupona na sasa kilimo kwanza. Ila kinakua kwa 4.2% tu.

Hizi slogan zinachosha! Kuna nyingine kama: Siasa ni kilimo na kilimo ni uti wa mgongo !!! Upuuzi mtupu.
 
Hiyo Kauli ya JK inatia kinyaa. Its as if hajui kinachoendelea nchini na kwamba hakuna kilichoharibika...
 
naona bi-kiroboto a.k.a supaku leo amegendeza,utazani ametumia ....LEMBELI naona anaendelea kumchana waziri MAIGE,huku MAIGE amenunaaaa,huku WACILAA vijambo vikimtoka kwa presure coz zamu yake inakalibia,Gombe matunda yameisha do cjui ataenda wapi maskini may b akajalibu kucheza mieleka,
 
Pinda ndio anatoa majumuisho kwa niaba ya serikali kuhairisha bunge...bado kanza na blaah za pongezi kwa wabunge wapya wa CDM, then anaipongeza Simba SC kufika raundi ya tatu ya ligi ya mabingwa Afrika...anaendelea pia kuwapongeza na kuwataja wabunge wapya wa EA then anaendelea kuwataja na kuwapongeza wajumbe wa Tume ya mabadiliko ya katiba
 
Back
Top Bottom