Tamko la serikali kuhusu mgomo wa madktari


Unajua mkuu, mimi huwa nashangaa hawa viongozi wetu wamefikaje hapo walipo? Je huko wanakopita, watu huwa wanasahauje hizi dharau? Au ndo mambo ya milungula ya kampeni watu hujisahau na kuanza kujipendekeza kwao na hatimaye kuwapa kura au kuwasaidia kuiba kura? Sioni tena maana ya kuwa na kiongozi ndani ya jamii zetu wakati hawajali!! Lakini yana mwisho, tutafika sehemu tutaanza kujichangulia hata magari yao ay nyumba zao. This is too much!!
 
Tunashukuru kamati yetu kwa kazi nzuri mnayofanya tuko pamoja katika hatua zote, kwa umoja wetu tutashinda kwa pamoja tunaweza.tafadhali information kama hizi ni muhimu stay in touch.
 
Hii serikali ya ajabu sana, kuna matamko mangapi yatatolewa kwa hili sakata? Kwa mtazamo wangu nilitegemea tamko alilotoa waziri mkuu ndio msimamo wa serikali, inaonekana basi matamko yatakuwa mengi sana kwa hali hii, viongozi wajifunze kufanya kazi kama team, wanapotoa tamko ni vyema wakajadiliana kwanza, sio kukaa chumbani na wake zao na kuja kutoa tamko. Kiukweli pinda anadharauliwa sana na watendaji wa serikali, msimamo ule ndio nilitegemea uwe wa serikali. Let me wait and see huo msimamo wa serikali ili nilinganishe na wa pinda.
 

Atuambie wangapi hawana kazi baada ya tamko lake na wangapi wana kazi. Atupe data aliowafuta kazi ndo tunataka kujua. Asituletee yale ya sukari ishuke bei mpaka leo inapanda yuko kimya. Kwa lamadaktari tunae..atoe tamko
 
na kwa nini tuendelee kusubiri tamko. Mi nilidhani hili suala ni dharura!
 
natrajia serikali itakuja na tamko makini huyo kesho.
 
Wabunge wa upinzani kesho wambane bi mkora hii issue iwe discussed bungeni na akikataa wote watoke nje ya bunge na kuanza kuandaa maandamano ya wananchi kupinga ukimya wa serikali juu ya mauaji yanayoendelea!

Mnapenda ee maandamano ndo mana mnaonekana watu wa vurugu kwa tz tangu lini maandamano yakaleta tija andmaneni tu mtakulaa risasi na kesi zitaendelea kelee za mbwa hazimzuii tembo kunywa maji!!
 
Hakuma viongozi hapa tz. Mapoyoyo watupu ni wiki la 3 sasa hawana jibu zaidi ya vitisho visivo na tija!
 
natrajia serikali itakuja na tamko makini huyo kesho.
Binafsi natumai serkali iendelee kupima joto ya jiwe hadi wiki ijayo.
Tuone fatigue syndrome among doctors.
Unaongea kama mkata tamaa.
 

Hivi bado wa tz tunajua tunae serikali?serikal kani isiyoweyeza kuumizwa na matatizo ya wananch wake?hivi ni nch gani afirica inayoongozwa kama tz?inch gani ina inayobeba mafisadi kam tz?inch gani africa yenye raisi asiyekua na msimamo kama tz?kiufupi hatuna serikali tuna mifano ya viongoz
 

Usiseme sana mkuu, ni jana tu wamepewa tuzo ya kushughulikia rushwa, wanaotujua wala hawapati tabu nasisi wanatupaka tu mafuta (kwa mgongo wa chupa), mara utasikia tanzania imeonesha mfano kwa kupigana na maralia, sorry, mimi sipokei sifa za kijinga!
 

mkuu nadhani umekubali maoni yangu. Maana yangu ilikuwa ni kwamba baada ya pinda kutoa tamko usitegemee kipya tena. Aliyoyasema pinda si kauli yake bali ni kauli ya mkuu wa kaya. Yataendelea kuwa hivyo hivyo reagardless yametolewa na nani.
 
atuambie wangapi hawana kazi baada ya tamko lake na wangapi wana kazi. Atupe data aliowafuta kazi ndo tunataka kujua. Asituletee yale ya sukari ishuke bei mpaka leo inapanda yuko kimya. Kwa lamadaktari tunae..atoe tamko

mkuu hutapata tamko kama hilo kutoka serikali hii. Just imagine, hivi suala la kama posho mpya za wabunge zimeanza kutumika au la ingekuwa ni issue ya kuumiza kichwa? Waliopo mjengoni wanasema wameanza kulamba kilo 2, mkuu anasema hajaidhinisha. Sawa hajaidhinisha, tuambiwe wameanza kula ?" kama wameanza kula kabla hazijaidhinishwa tuambiwe sitasitishwa, zitaendelea, watazirejesha au watachukuliwa hatua gani. Kwa hiyo kama suala dogo tu la posho halipati ufumbuzi unategemea ufumbuzi katika suala kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…