Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,104
Yuko busy. Mchumi asiyejua uchumi. Hata Degree ya uchumi aliyopata haikumsaidia, mbali ya hapo jamaa inaonekana hata washauiri wake ameteua wa kufanana naye.
Hivi jamani bado raisi hajatoa tamko? au kwake yeye ni ishu ya kawaidatu wala haijitaji attention yoyote??
Hawezi kusema lolote kwani yeye ndiye aliyewatuma, mafisadi ni bora kuliko maisha ya watanzania, wanakotupeleka siko, wanaojitoa muhanga kwa kujilipua walianza hivyohivyo, hatime wtu wanakata tamaa na mwishoe, wanaibuka watu wenye misimamo mikali, lakini yote husababishwa na tawala kandamizi.